GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakenya wako vyema.Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
Siyo ile Mizuzu mingine ya Jirani.Wakenya wako vyema.
Katika hili la kudai haki zao wakenya wako mbele mnoo.
Wengine ( Mazuzu Jirani ) wanasumbuliwa na Upumbavu wao wa Kudumu.Kenya wanasumbuliwa na ukabila