GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jun 25, 2024 #1 Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
nyboma JF-Expert Member Joined Aug 29, 2021 Posts 2,308 Reaction score 7,366 Jun 25, 2024 #2 Jamii ina wajaluo na Wakuria ndani yake unategemea wawe mburula kama walivyo watanzania, wananchi wa Kenya wanafahamu wanachokipambania achana na hawa midoli wa Tanzania
Jamii ina wajaluo na Wakuria ndani yake unategemea wawe mburula kama walivyo watanzania, wananchi wa Kenya wanafahamu wanachokipambania achana na hawa midoli wa Tanzania
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 11,550 Reaction score 40,697 Jun 25, 2024 #3 GENTAMYCINE said: Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!! Click to expand... Wakenya wako vyema. Katika hili la kudai haki zao wakenya wako mbele mnoo.
GENTAMYCINE said: Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!! Click to expand... Wakenya wako vyema. Katika hili la kudai haki zao wakenya wako mbele mnoo.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jun 25, 2024 Thread starter #4 Zanzibar-ASP said: Wakenya wako vyema. Katika hili la kudai haki zao wakenya wako mbele mnoo. Click to expand... Siyo ile Mizuzu mingine ya Jirani.
Zanzibar-ASP said: Wakenya wako vyema. Katika hili la kudai haki zao wakenya wako mbele mnoo. Click to expand... Siyo ile Mizuzu mingine ya Jirani.
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jun 25, 2024 #5 Wakenya sio type ya wajinga kama huku na unafiki wetu
K kipenseli2021 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 1,390 Reaction score 1,431 Jun 25, 2024 #7 Kenya wanasumbuliwa na ukabila
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jun 25, 2024 Thread starter #8 kipenseli2021 said: Kenya wanasumbuliwa na ukabila Click to expand... Wengine ( Mazuzu Jirani ) wanasumbuliwa na Upumbavu wao wa Kudumu.
kipenseli2021 said: Kenya wanasumbuliwa na ukabila Click to expand... Wengine ( Mazuzu Jirani ) wanasumbuliwa na Upumbavu wao wa Kudumu.