- Thread starter
- #21
wale wezi kabisaChama cha walimu mavi kabisa sio chama cha kutetea walimu hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wale wezi kabisaChama cha walimu mavi kabisa sio chama cha kutetea walimu hicho
hilo ni kweli kaka wanatuona kama mbuziMaji makubwa🤣🤣 poleni Sana, walimu wengi hawana intrinsic
motivation wanafanya kazi ili mradi tu. Ndo maana kila mwalimu anaejiendeleza kielimu anataka aachane na ualimu. Maboss pia huwa grade walimu Kama wanafunzi 🤣🤣
Huwa wanatishwa sana kama watoto.Maafisa Elimu na HROs wakiongoza kwa kuwasumbua,kuwanyanyasa,kuwadhulumu na kuwatisha.Tunaua Elimu yetu Kwa kutikuwajali walimu.
Uchaguzi u karibu, onyesheni hasira zenu huko, pia walimu mna HAKI kisheria kugoma kupitia chama chenu Cha wafanyakazi, tumieni njia huyo kukata minyororo iliyowafunga.
Na sasa wanachangishana kumchukulia fomu mwakaniMsidharaulike kwanini ikiwa mnawasaidia kuiba kura.
sh ngapi mkuu tuanzie hapo?Kwani serikali si imeweka viwango vya posho public. Mnalia nini?
Kama semina ni siku 5 jumlisha na siku 1 (1/2 +1/2) jumla siku SITA.
Hapo tena unalipwa kulingana na daraja lako .
Sasa munalia nini huku kila kitu kiko wazi?
Kama viwango vya posho viko wazi na anatokea Mtanzania mwenzako (sio mzungu, sio shetani, sio Mungu) anakudhulumu na wewe unakodoa macho maana yake huna akili.
Tahira
Kwa junior 100k per day while 250k per day.sh ngapi mkuu tuanzie hapo?
Tatizo ni walimu wenyewe, wengi wenu hamjitambui unakuta mwalimu ana maisha magumu madeni kibao ila akiskia Bashite yuko hapo wilayani mbio kwenda kujaza uwanja sasa namna hiyo mtaachaje kudharauliwa??Tanzania Wilaya ya Uyui Waalimu tunanyasika sana sijui tatizo nini? Tulikuwa kwenye semina ya mtaala mpya daaa h full vitisho maneno ya kukatishana tammaaaa. Posho hazieleweki za semina yenyewe mnaishia kupewa maji makubwa.
Hii wilaya ina shida serikaki iangalie kwa jicho la pekeee ni wilaya ambayo mpaka sasa haijalipa nauli za likizo tangu mwezi wa 11.
Waziri itupie macho wilaya hii.
Mtalipwa uchaguzi mkuu ukikaribia ili msahau taabu zenu.Tanzania Wilaya ya Uyui Waalimu tunanyasika sana sijui tatizo nini? Tulikuwa kwenye semina ya mtaala mpya daaa h full vitisho maneno ya kukatishana tammaaaa. Posho hazieleweki za semina yenyewe mnaishia kupewa maji makubwa.
Hii wilaya ina shida serikaki iangalie kwa jicho la pekeee ni wilaya ambayo mpaka sasa haijalipa nauli za likizo tangu mwezi wa 11.
Waziri itupie macho wilaya hii.
Mpo cheap mnoTanzania Wilaya ya Uyui Waalimu tunanyasika sana sijui tatizo nini? Tulikuwa kwenye semina ya mtaala mpya daaa h full vitisho maneno ya kukatishana tammaaaa. Posho hazieleweki za semina yenyewe mnaishia kupewa maji makubwa.
Hii wilaya ina shida serikaki iangalie kwa jicho la pekeee ni wilaya ambayo mpaka sasa haijalipa nauli za likizo tangu mwezi wa 11.
Waziri itupie macho wilaya hii.
Hongera sana boss kiukweli walimu wengi wamekuwa walimu kwa sababu ya umaskini tu.Nikiona mada kama hizi hua namtumia sister 100k ya kula kuku angalau kuniepusha na aibu na fedheha na dharau kama hizo wanazopitia walimu.
Miaka ile natakiwa kwenda chuo kikuu, nikakosa mkopo kwa fani niliyokua naitaka, wakaniambia nibadili nisome ualimu nitapata mkopo 100%. Sister akakataa, siwezi kusoma fani siipendi kisa mkopo, akaahidi atalipia.
Leo hii nakula kuku kwa mrija, naishi kwenye ndege kama Vasco da gama wa mchongo. Isingekua sister ningeishia kua mwalimu huko Singida porini vumbi kama lote, dharau hadi na bodaboda.
Kikwete asingekuja na mbinu ya mikopo 100% kwa walimu mpaka kungekuwa na uhaba wa walimu wa kutosha .umaskini ndugu yangu
Ndio maana mapinduzi ya Elimu kwa kutumia walimu hawa ni ndoto ya Alinacha.Maji makubwa[emoji1787][emoji1787] poleni Sana, walimu wengi hawana intrinsic
motivation wanafanya kazi ili mradi tu. Ndo maana kila mwalimu anaejiendeleza kielimu anataka aachane na ualimu. Maboss pia huwa grade walimu Kama wanafunzi [emoji1787][emoji1787]
Kuna watu na degree zao hawana huo mshahara nyie mnaudharauNdio maana mapinduzi ya Elimu kwa kutumia walimu hawa ni ndoto ya Alinacha.
Walimu hufanya kazi ilimradi wapate ugali wao tu intrinsic motivation itatokea wapi kwa mshahara wa 400K month to month.
Hata walimu wasio na ajira wanautamani huo mshahara ILA wakiingia huko ni majuto yasio na mwisho.Kuna watu na degree zao hawana huo mshahara nyie mnaudharau