Waalimu tunadharauliwa sana hivi kwanini?

ngapi
@@Mpwayungu

Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile

Mm ni mwalimu ila sifundishi namimi nitakuwa kwenye kundi la masikini?
daaaah jamaaa wanadharau sana hata nauli za likizo mpaka sasa hawajatoa malalamiko nimmengi sana
 
Wanaongea kwa vitisho ili msihoji Chochote hata wakila pesa zenu.
 
Wasiliana na CWT wawasaidie kupaza sauti.
 
LAZIMA MDHARAULIKE PAMOJA NA MAISHA MAGUMU MLIYONAYO ETI KWA VIHEREHERE VYENU MNANUNULIA MTU FOMU
 
Sikiliza!

Pale karibu na las vegas tabora Kuna mahakama ya kazi pale!!

Nenda pale utakutana na afisa kazi mkoa!

Mueleze Kwa kina malalamiko yako!

Yule jamaa anaogopeka sana na atafuatilia !

Niliwahi enda pale jamaa yupo humble!!

Ishu yangu ilifanywa faster!!!!

ACHA kulalamika,wale kina karugutu wale wanachukulia advantage ya uoga ulionao!!

Usiogope kama una madai nenda pale!!

Mi walishanishtukia Huwa hawaniiti kwenye seminar za kipuuzi!siogopi nakiwasha!

Niliwahi kukiwasha sehem nyingi na wananijua!!!

Huwa nawalipua Kwa kalamu kwa wahusika wakuu wa juu yao!

Siku wakijichanganya watashangaa mkurugenzi anashtakiwa na hiki kichwa na sitoogopa mtu!!!!

Be humble!click the right button,watakiheshim,japo walinichakachua ukuu was shule eti Nina kiburi but am fine na ninafinancial freedom inayonitosha hasta silambi mtu miguu!!
 
Tatizo serikali inamsikiliza Mpwayungu village
 
Ndio maana mapinduzi ya Elimu kwa kutumia walimu hawa ni ndoto ya Alinacha.

Walimu hufanya kazi ilimradi wapate ugali wao tu intrinsic motivation itatokea wapi kwa mshahara wa 400K month to month
Masilahi ya walimu yaangaliwe, bila hvo sector ya Elimu itaendelea kuddmia, miaka ya sasa unaweza ona mtoto wa darasa la tano hawez kucopy alichoandika mwl ubaoni😀, wazazi fatilieni daftar za watoto wenu msiwaachie walimu tu
 
Waache woga ndo maana wanapigishwa semina bure,
 
Umenikumbusha mbali,Mr Karugutu anawapeleka mpera mpera mbaya sana.Afu nyie walimu wa msingi muache uoga,hua mnawanyenyekea sana hao mataita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…