Waalimu wa South Afrika wanamudu vipi haya majaribu

Waalimu wa South Afrika wanamudu vipi haya majaribu

Kwanzaa, Hao ndo mavazi yao, ata wale wazulu wanavaa vifua wazi na shanga kiunoni, wamezoea hivyo, pili wanaume wengi wa sauzi ni mchicha mwiba. Lakini pia ata Kenya hapo wanwake wengi wanavaa vimini barabarani. Tatu wanaume wengi wa sauzi hawawapendi wanawake wao coz wanasema wanapiga sana viizinga zaidi ya mademu wa Jf.
 
Wameshazoea
South Africa, Botswana,Lesotho ,Swaziland wasichana kuvaa vinguo vifupi na kutembea matiti nje bila kuvaa chochote kufunika matiti Kawaida ni utamaduni Wao sio Wala shida kwao sema shule Walau vinafinika matiti lakini hizo nguo kwao ndizo uniform zao za shule

Angalia hata filamu ya Sarafina uone uvaaji Wao imo YouTube

Kwa Walimu wakware usiende. Kule watakuua wenye mtoto
 
Ni mavazi wanayoyavaa miaka yote hata kabla ya uhuru wao.Siyo kwetu huku Masokola akiona paja au zegembe la binti likifanya tentemente anajikojolea mubashar!Vijana zoeeni adhabu mzipatazo muishi miaka mingi,heri duniani na bila vifungo jela.
Kule nchi za kusini mwa Afrika unakuta wanavaa hivyo na Wala sio Malaya

Hata mfalme mswati wa Swaziland Kila mwaka huletewa Mabikra mamia wakiwa na vimini na matiti yote nje achague anayemtaka amuoe

Watanzania Walimu wakware ukienda kule Nyege zako ziache Tanzania aweza kuwa mzazi aandaa mwanawe aolewe na mfalme mswati wewe na ukware wako ukajaribu kutaka kivyovyote kihalali au kibakaji wanaweza kukuua.Nyege zako ziache Tanzania
 
Nyege waende nazo tu ila wajikaze moyo na kujidai hawaoni.
 
Kwa Madiba itakua sheria sio kali sana

Bongo kila kitu kubanwa tu advance tu kwenye schools bash tulikua tunakaziwa labda FEMA kidogo
 
Hebu ona, hapa SI kutafutana lawama🤒
images (15).jpeg

images (12).jpeg
 
Sheria bro.
Utamwaga unga kwa sababu ya nyap?
Chezea mshahara usicheze kazi
 
Back
Top Bottom