Waalimu wa South Afrika wanamudu vipi haya majaribu

Waalimu wa South Afrika wanamudu vipi haya majaribu

Acha upumbavu, mwanamke ana haki ya kuvaa anachotaka kwa muda unaoutaka na sio kwamba akivaa hivyo anahitaji sex,uniforms hapo SA ni school policy zao na hazina tatizo lolote,achana na mawazo ya kingono, tafuta pesa
Acha mbwembwe wewe. Watu hatuvai nguo kwa ajili yetu oeke yetu. Tunavaa kwa ajili ya wengine pia. Kama wanafunzi, lazima wavae kwa utaratibu hata kama unatafuta pesa huwezi fundisha mwanafunzi ameacha chupi yake ipo wazi. Labda sio mwanaume rijali wewe unasingizia kutafuta pesa ila ni lazima upate mfadhaiko.
 
Nilikua na mtu kwenye corrido za Eastgate nilikua nampiga jicho nione kama anatolea macho pisi za kisouth, alooo bwana wanawake wanavaa nguo fupi mall, wana mapaja, matako na hispi na mamiguu na rangi zao, wana weupe fulani hiviiiii! Na wale wachocolate wana uchocolate fulani hiviii.

Wanaume zetu wa kibongo mpaka mzoee mtakuwa mmevunjika shingo kwa kugeuka.
 
Acha mbwembwe wewe. Watu hatuvai nguo kwa ajili yetu oeke yetu. Tunavaa kwa ajili ya wengine pia. Kama wanafunzi, lazima wavae kwa utaratibu hata kama unatafuta pesa huwezi fundisha mwanafunzi ameacha chupi yake ipo wazi. Labda sio mwanaume rijali wewe unasingizia kutafuta pesa ila ni lazima upate mfadhaiko.
Acha mawazo mfu hayo,tembelea manzini, wanawake wanatembea vifua wazi, inaonekana wewe utabaka
 
Back
Top Bottom