mrembo wa kiafrika
New Member
- Apr 18, 2013
- 4
- 3
Serikali sikivu haina pesa.
kama walikuwa hawajui ualimu ni wito ndo watambue sasa.kwanza siwalizifuta hizo ajira hadi tarehe 30 ndo wanazitangaza
Nimeskia kuna baadhi ya waalim waloajiriwa mwaka huu wamerudi makwao kwa kukosekana fedha za kujikimu katika wilaya walikopangwa. Lengo la serikali kwa vjana hao lilikuwa ni nini?
Je ni sahihi kuwalipa mishahara huku wakiwa majumbani?
ikiwa laki tatu elfu 15 imeshindikana huo mshahara wenyewe utawezekana?