Waalimu wapya kurudi makwao?

Waalimu wapya kurudi makwao?

mrembo wa kiafrika

New Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
4
Reaction score
3
Nimeskia kuna baadhi ya waalim waloajiriwa mwaka huu wamerudi makwao kwa kukosekana fedha za kujikimu katika wilaya walikopangwa. Lengo la serikali kwa vjana hao lilikuwa ni nini?

Je ni sahihi kuwalipa mishahara huku wakiwa majumbani?
 
ikiwa laki tatu elfu 15 imeshindikana huo mshahara wenyewe utawezekana?
 
jaman waalimu kuwen wavumilivu. mmeripoti mwez hamna mnarudi nyumban watu walikaa niez3 bila mshahara kwakubangaiza hadi mambo yakawa sawa
 
walimu walioajiriwa 1996 walikaa miezi 6 bila mshahara
 
Serikali sikivu haina pesa.
 
mdg angu nae karud home hakuna hela ya kujikimu
 
kama walikuwa hawajui ualimu ni wito ndo watambue sasa.kwanza siwalizifuta hizo ajira hadi tarehe 30 ndo wanazitangaza
 
Vumilien mambo yatakuwa safi tu. sie 2012 wa idara za kilimo na mifugo tulikaa miezi 2 wilaya zingine miezi 6 wa 2014 walisota miez 7. Afya wa 2014 wilaya yetu walikaa miez 3 wengine 5. Msihofu bora ajira inasoma pay roll utaingia tuu soon.!!
 
Me nlikaa miez6 bila salaries but in the name of god i made it at the end-
 
Unadhani wakati unajaza Ualimu na zile Boom za100% ulifikiri zitaenda bure!!
 
Nimeskia kuna baadhi ya waalim waloajiriwa mwaka huu wamerudi makwao kwa kukosekana fedha za kujikimu katika wilaya walikopangwa. Lengo la serikali kwa vjana hao lilikuwa ni nini?

Je ni sahihi kuwalipa mishahara huku wakiwa majumbani?

niliwahi kuwashauri, kurudi nyumbani tena ni huruma ya mkuu wako wa idara. unaweza ambiwa ukae ujitegemee hadi mshahala utakapo toka, shukuru sana umeruhusiwa, nenda nyumban mshahala wa kwanza ukitoka utumie kwanza home. subiri ule mwingine ndo uende hakuna shida wala msiogope. kikubwa chukua no ya bos HELA YA KUJIKIMU HUTOKA KTK MAPATO YA HALMASHAULI HUSIKA. inategemea kama wana fedha kwa mda huo, kwan tamisemi hupanga watu tu bila kujali hayo. hiyo hela mtapewa ingawa inaweza kuchelewa pamoja na nauli. inaonekana nyumbani mmepachoka hahaaaaa, huko ni hom tu haja likizo hutapakwepa ndugu.
 
Back
Top Bottom