Waamuzi wa kike kuchezesha mechi za kiume ni kuwadhalilisha hadharani

Wewe huna hoja kabisa, siku hizi tunaona wanawake wanaendesha hadi masemi na wanaenda hadi Congo, Zambia mpaka hata Zimbabwe tena peke yao.

Wengine ni ma -opareta wa magreda, vijiko hadi madoza na wengine wanawachanganyia mafundi udongo au zege wanajenga na wengine ni marais wanakutawala hadi wewe na familia yako halafu unataka kutuambia nini.

Hayo mawazo feki ya kiarabu peleka hukohuko uarabuni sisi sio waarabu.
 
Kwanza nikiri wazi naamini football sio mchezo mzuri Kwa wanawake kushiriki katika kucheza au uamzi labda kwenye uongozi na nafasi nyingine katika football

Si busara wala tamaduni zetu Africa wanawake kuchangamana na wanaume hivo bila stara

Football ni mchezo wa kugusana
Ni rahisi mwanamke kuguswa sehemu za Siri kama matiti, makalio au uke bila dhamira au Kwa kushawishiwa

Mavazi wanayovaa
Mwanamke kuvaa bukta za wanaume ni kuwaweka uchi hadharani, basi nashauri kama Kuna changamoto ya waumuzi WA kiume, hawa mabinti watafutiwe mavazi ya stara

Waamuzi wa kike wanakosa kujiamini
Hii ni asili ni ngumu Kwa mwanamke kufanya maamzi ya hekima mbele ya wanaume, wengi hupata woga na ku panic

Hapa hutawaona watu wa haki za binadamu na wanawake kuja kuwatetea wanawake waamuzi wa kike, wapo kimya dhidi ya udhalilishaji huu
Wametala 50%
 
Wewe huna hoja kabisa, siku hizi tunaona wanawake wanaendesha hadi masemi na wanaenda hadi Congo, Zambia mpaka hata Zimbabwe tena peke yao.

Wengine ni ma -opareta wa magreda, vijiko hadi madoza na wengine wanawachanganyia mafundi udongo au zege wanajenga na wengine ni marais wanakutawala hadi wewe na familia yako halafu unataka kutuambia nini.

Hayo mawazo feki ya kiarabu peleka hukohuko uarabuni sisi sio waarabu.
Hukuelewa soma la division of labour
 
Hizi haki sawa, sijui 50/50 ndo zinaharibu jamii
Sio kila kitu anachofanya mwanaume hadi mwanamke akiweze
Kiasili football ni mchezo wa kiume hauwafai wanawake
Vipi kuhusu wanawake wanaozaliwa na vipaji vya kucheza football?. Kwamba kazi ya Mungu ina makosa?
 
Mwanamke anapaswa stara na heshimu siyo kuvaa kichupi na kukimbizana na wanaume
Jifanye huyo mwanamke awe mama ako, dada, shangazi, mkeo, bibi n. K we ungelipokeaje
 
Hamna shida kama mazingira ya kazi yake yanamtaka avae hivyo. Tatizo wale wanaothamini utamaduni wa kiarabu wamechukua akili za kiarabu za kuwaza mambo ya ngono tu kila wakati.

Kila wanapomuona mwanamke amevaa kiasili bila maushungi wao tayari akili imesha kimbilia kwenye kuwaza mambo ya ngono. Mnazidiwa akili hata na wanyama. Bure kabisa.
 
Vipi akiwa mkeo, mama yako, Binti yako
Hilo litakufurahisha akifanya hiyo kazi?
 
Mpira wa miguu ni kwa ajili ya wanaume tu, wazee wa 50/50 wanaforce kila kitu kiwe sawa.
 
Back
Top Bottom