GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Halafu kaeni mkijua kuwa kuna wengine Mwenyezi Mungu 'ametubariki' na 'Vipaji' vingi tu hivyo hata huku 'Kuimba' tunaweza vile vile sema tu haikuwa 'Kipaumbele' chetu. Kama kuna 'Msimu' wa BSS ambao nimeushuhudia kuwa una 'Washiriki' wenye 'Utahaira' katika 'Uuimbaji' ni huu unaoendelea sasa. Na mpaka naandika huu 'Uzi' jueni 'nimekereka' sana tu.
Na kinachoniuma kama siyo Kunisikitisha zaidi ni kuona Mmoja wa 'Jaji' tena maarufu na ameusomea vyema tu 'Mziki' na 'Uundaaji' wake Mtoto wa Kishua Master Jay nae anakubaliana na 'Upuuzi' huu unaonekana sasa. Simsemi Muandaaji Madam Rita kwani huenda Yeye huu 'Upuuzi' anafurahishwa nao au unamfaidisha 'Kibiashara' kwa jinsi anavyojua Yeye.
Enyi 'Waandaaji' wa Bongo Star Search (BSS) ipo haja sasa kote huko Mikoani mkiwa mnapita 'Kusaka' Washiriki kabla ya kuja nao kuweka 'Kambi' hapa Dar es Salaam ili muendelee na 'Auditions' zenu muwe mnaongozana na Madaktari wa Akili (Ubongo) na atakayekuwa ni mzima 'Kichwani' ndiyo mumbebe kuja nae Bongo.
Wakati nafundishwa Kuimba Muziki na 'Mafundi' kama akina Papy Texy, Nyiboma Mwadindo, JB Mpiana, Werrason, Koffi Olomide, Alain Mpela 'Afande' na 'Marapa' kama akina Djouna Mombafu (Bileku Mpasi) na Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ) waliniambia Muimbaji anaanza kuonekana tu Machoni, Upumuaji wake (simaanishi Kujamba tafadhali) na aina yake ya Sauti anavyoitoa tu.
Baada ya Kuungalia 'Upuuzi' unaondelea sasa BSS nimeshajua ni kwanini 'Muuandaji' mwingine wa Muziki nchini na Msela wangu Mwenyewe P Funk 'alias' Majani alikuwa licha ya kwamba ukiwa unaenda Kwake 'Kurekodi' Wimbo / Nyimbo alikuwa akikusikia tu unaimba hovyo ama anakupiga 'Vitasa' au 'anakufukuza' na hata Kukutupia 'Hela' yako yote ya Kurekodia.