Waandaji wa BSS (Bongo Star Search) Msimu ujao ongezeni 'Kipengele' cha Kuwapima 'Akili' Washiriki wenu kwani tunachoka Kuwatizama 'Matahaira' tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Halafu kaeni mkijua kuwa kuna wengine Mwenyezi Mungu 'ametubariki' na 'Vipaji' vingi tu hivyo hata huku 'Kuimba' tunaweza vile vile sema tu haikuwa 'Kipaumbele' chetu. Kama kuna 'Msimu' wa BSS ambao nimeushuhudia kuwa una 'Washiriki' wenye 'Utahaira' katika 'Uuimbaji' ni huu unaoendelea sasa. Na mpaka naandika huu 'Uzi' jueni 'nimekereka' sana tu.

Na kinachoniuma kama siyo Kunisikitisha zaidi ni kuona Mmoja wa 'Jaji' tena maarufu na ameusomea vyema tu 'Mziki' na 'Uundaaji' wake Mtoto wa Kishua Master Jay nae anakubaliana na 'Upuuzi' huu unaonekana sasa. Simsemi Muandaaji Madam Rita kwani huenda Yeye huu 'Upuuzi' anafurahishwa nao au unamfaidisha 'Kibiashara' kwa jinsi anavyojua Yeye.

Enyi 'Waandaaji' wa Bongo Star Search (BSS) ipo haja sasa kote huko Mikoani mkiwa mnapita 'Kusaka' Washiriki kabla ya kuja nao kuweka 'Kambi' hapa Dar es Salaam ili muendelee na 'Auditions' zenu muwe mnaongozana na Madaktari wa Akili (Ubongo) na atakayekuwa ni mzima 'Kichwani' ndiyo mumbebe kuja nae Bongo.

Wakati nafundishwa Kuimba Muziki na 'Mafundi' kama akina Papy Texy, Nyiboma Mwadindo, JB Mpiana, Werrason, Koffi Olomide, Alain Mpela 'Afande' na 'Marapa' kama akina Djouna Mombafu (Bileku Mpasi) na Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ) waliniambia Muimbaji anaanza kuonekana tu Machoni, Upumuaji wake (simaanishi Kujamba tafadhali) na aina yake ya Sauti anavyoitoa tu.

Baada ya Kuungalia 'Upuuzi' unaondelea sasa BSS nimeshajua ni kwanini 'Muuandaji' mwingine wa Muziki nchini na Msela wangu Mwenyewe P Funk 'alias' Majani alikuwa licha ya kwamba ukiwa unaenda Kwake 'Kurekodi' Wimbo / Nyimbo alikuwa akikusikia tu unaimba hovyo ama anakupiga 'Vitasa' au 'anakufukuza' na hata Kukutupia 'Hela' yako yote ya Kurekodia.
 
sasa mkuu si ndo maana ya kutafuta wenye vipaji. Lazima wachukue makundi yote then wanaanza kuwachuja. Sasa wakisema wawachukue tu wenye vipaji wanaofahamika sidhani kama huko kutakua ni kutafuta wenye vipaji.

Mimi nadhani tuache kumlaumu dada Rita na brother Master J, hawa watu wanafanya kazi nzuri bila kubagua na wanamsikiliza kila mtu hata U. S wanafanya hivyo hivyo.

Wewe kama unaona wanakukera tafuta mtaji uanzishe BSS yako ya kuchukua master tu ambao tu wanajulika sasa sijui utakua ndo una search au tayari unachukua walio searched.
 
Mkuu ile wanaita Bongo Star Search. Yaani wanamtafuta mtu yeyote yule wamfanye awe star hayo mambo ya kuimba kwao sio kipaombele kabisa.
 
Kwahy dar hawatakiwa matahira.?

Kama ww unaona wenzako n matahira bc ujue wengine wanaenda pale for fun na ujue bss wanapiga pesa jnc watu wanavoangalia video vile, mm niko radhi niweke ht GB za kutosha ili niangalie ili nifurahi tuu
 
sasa mkuu si ndo maana ya kutafuta wenye vipaji. Lazima wachukue makundi yote then wanaanza kuwachuja. Sasa wakisema wawachukue tu wenye vipaji wanaofahamika sidhani kama huko kutakua ni kutafuta wenye vipaji.

Mimi nadhani tuache kumlaumu dada Rita na brother Master J, hawa watu wanafanya kazi nzuri bila kubagua na wanamsikiliza kila mtu hata U. S wanafanya hivyo hivyo.

Wewe kama unaona wanakukera tafuta mtaji uanzishe BSS yako ya kuchukua master tu ambao tu wanajulika sasa sijui utakua ndo una search au tayari unachukua walio searched.

Itakuwa Madrid hiyo sio tena BSS
 
Back
Top Bottom