Waandamanaji Nairobi wavamia jengo la Bunge baada ya kuwashinda nguvu polisi, yasemwa waandamanaji 10 wameuawa kwa kupigwa risasi halisi

Very good. Watu wengi ni wazito kulipa kodi kwani wanajua viongozi wanazitumia kustarehe.
 
Very good. Watu wengi ni wazito kulipa kodi kwani wanajua viongozi wanazitumia kustarehe.
Yaani Kodi ingekuwa inatumika vizuri am sure ningekuwa najipeleka mwenyewe na wananchi wengi mno wangelipa Kodi wenyewe hata bila ya tra. Kuna shule hapa Mwanza mjini fumagila watt wako karibu 2000 na uchafu Ila mwalimu wa fizikia mmoja,na mathematics. Hebu imagine walimu wapo wamejaa mitaani viongozi wanaowaza matumbo na sio kutumikia nchi na wananchi wao waache majina kwenye moyo wa mtu wao wanaowaza kumiliki majengo Dubai, London na new York. Wanaoenda kuomba msaada ni wengi kuliko wanaotaka kutoa msaada. Yaani watu 50 kwenye msafara wa kuomba msaada wanakaa na watu wanne tu. Raisi anasafiri na wasanii Ila bodaboda hasafiri nao ili wakapate uzoefu wa biashara iyo huko nje wanafanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…