Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Nadhani Wana hasira zaidi baada ya askari kuwaua baadhi ya waandamanajiJohn
Hii mbaya una maana gani? Si mbaya kukandamiza na kudharau wananchi ila ni mbaya kuchoma za watu wanaokandamiza na kuwadharau wenye nchi?
Kwanini tusimshikie betina!Hii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia
Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill
Aidha Ofisi za Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani na zile za Gavana wa Nairobi zimechomwa moto
Mali hizo zimeoneshwa na Citizen Tv zikiteketea
Wanadai Zakayo Ashuke
Safi sana. ccm wasome alama za nyakati. Pamoja na kwamba inaeleweka Watanzania ni waoga hasa kutokana na katiba mbovu,itafika wakatiHii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia
Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill
Aidha Ofisi za Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani na zile za Gavana wa Nairobi zimechomwa moto
Mali hizo zimeoneshwa na Citizen Tv zikiteketea
Wanadai Zakayo Ashuke
Kwa zile kejeli, namwomba Mungu walau amlipe kabla ya hii wiki kwisha.Yule ameokolewa Kwa Chopa kutoka Bungeni
Picha hata moja hunaHii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia
Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill
Aidha Ofisi za Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani na zile za Gavana wa Nairobi zimechomwa moto
Mali hizo zimeoneshwa na Citizen Tv zikiteketea
Wanadai Zakayo Ashuke
Vurugu za kuonyesha hasira huishia kuleta hasara ya kiuchumi.Hii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia
Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill
Aidha Ofisi za Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani na zile za Gavana wa Nairobi zimechomwa moto
Mali hizo zimeoneshwa na Citizen Tv zikiteketea
Wanadai Zakayo Ashuke
Bwasheee hua unamaaanisha nini unapoweka kichwa Cha huyo mnyama
Nimewapenda sana wakenya. Wanajua kupiga pale panapouma. Hili la kuchoma mali na nyumba za wabunge zitafanya mtu akiwa mbunge ajue wajibu wake ni kusikiliza matakwa ya wananchi na siyo kuwa kibaraka wa serikali.John
Hii mbaya una maana gani? Si mbaya kukandamiza na kudharau wananchi ila ni mbaya kuchoma za watu wanaokandamiza na kuwadharau wenye nchi?
Ingia anga za wasomali, tukuchinjeimagine na sisi tungewafanyizia wasomali na waarabu lkn hapa tanzagiza wanatuchora tu wanatuibia halafu wanapiga pichas wakishow off expensive cars na sisi tunawasifu, RIP Mrema Lyatonga …
Mwigulu nchemba is typing...............see moreUkuu tutanza na kuchomaa mabasi ya ester 😅😅
Macho mkuu,Nimewapenda sana wakenya. Wanajua kupiga pale panapouma. Hili la kuchoma mali na nyumba za wabunge zitafanya mtu akiwa mbunge ajue wajibu wake ni kusikiliza matakwa ya wananchi na siyo kuwa kibaraka wa serikali.
ImhoLakini kuchoma Biashara Noma hayo sio Maandamano tena hiyo ni Riots.
Lichome Bunge kama walivyofanya Burkina Faso lakini kuja kwenye Kioski changu kukichoma ati unahasira na Wabunge haimake sense.Imho
Ndio maana tukauliza kama mtu anakukandamiza unamwambia ndugu yangu embu fanya hivi ili na mimi nisiumie niishi kwa amani, akitoka hapo anaendelea kukukandamiza na kukudharau na wakati yeye ndio analo hilo jukumu ungechukua hatua gani?
Na Esta BusKina Shabiby wajifunze kitu,