imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Rutto asitumie nguvu kubwa atazidi kuharibu mambo atumie njia ya Dialogue.tutaanza kusikia milio sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rutto asitumie nguvu kubwa atazidi kuharibu mambo atumie njia ya Dialogue.tutaanza kusikia milio sasa
Angalia hapa vibaunsa vya kigalatia vimekuja mjini vimeshiba ugali vikidhani vinaweza shurubahilo linawezeka tu tanzgiza sababu hatuna ushirikano kama nchi na jamii na ndiyo maana mnatuibia, kutulejeli na kutuchinja ndani ya nchi yetu wenyewe …
Nimekupata vema propagandist wa LumumbaHuyu mnyama anapatikana Iringa na China tu
Anakula Majani ya mianzi na kunywa Bamboo Juice
Ni mnyama makini Sana tena mno!
Kwenye mambo ya kijingaHawa watu wanakuwaga serious
Hapo sasa ni upeo wakoKwenye mambo ya kijinga
Angekuwepo huko na kauli zake za shyt aise angeshugulikiwa 😄Kwanini tusimshikie betina!
Noumaaa sana Yanii
Yaani nilikereka kuliko hata gen Z wenyewe.Unamzungumzia falhada iman?