GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wananchi wamefika kwenye yard ya magari ya Esther na kuacha salamu hapo. Kiberiti kimepigwa, gari zote zimekula moto.

Hivi mwigulu yupo kwao au alirudi Dar?😂😂😂 Ilibidi awe karibu asalimiwe kwa ile mikopo bogus aliyokuwa anapitisha halafu pesa zinapigwa chini ya jemedari wao Samuya.

Kunazidi kuchangamka, jua likaribia kuchomoza, ukombozi huu hapa.

OR Lord have mercy to my beloved country. We are praying for peace. Ninaomba Mungu damu ya mtu awaye yote isimwagike chini ya ardhi yetu. Tunaomba Munugu haya mambo yaishie kwa amani.
 
Wananchi wamefika kwenye yard ya magari ya Esther na kuacha salamu hapo. Kiberiti kimepigwa, gari zote zimekula moto.

Hivi mwigulu yupo kwao au alirudi Dar?😂😂😂 Ilibidi awe karibu asalimiwe kwa ile mikopo bogus aliyokuwa anapitisha halafu pesa zinapigwa chini ya jemedari wao Samuya.

Kunazidi kuchangamka, jua likaribia kuchomoza, ukombozi huu hapa.

View attachment 3495879

Yeye ndiye atakwenda Burundi kwanza.
 
Back
Top Bottom