GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wananchi wamefika kwenye yard ya magari ya Esther na kuacha salamu hapo. Kiberiti kimepigwa, gari zote zimekula moto.

Hivi mwigulu yupo kwao au alirudi Dar?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ilibidi awe karibu asalimiwe kwa ile mikopo bogus aliyokuwa anapitisha halafu pesa zinapigwa chini ya jemedari wao Samuya.

Kunazidi kuchangamka, jua likaribia kuchomoza, ukombozi huu hapa.


Your browser is not able to display this video.
 
OR Lord have mercy to my beloved country. We are praying for peace. Ninaomba Mungu damu ya mtu awaye yote isimwagike chini ya ardhi yetu. Tunaomba Munugu haya mambo yaishie kwa amani.
 

Yeye ndiye atakwenda Burundi kwanza.
 
Kinachoendelea dsm ni upumbavu mtupu. Waandamanaji wadhibitiwe
Mavi yako, mafisadi wote watakiona cha moto na wa kuwadhibiti wabanchi hakuna. Samia kakimbia bado Kikwete subiri usiku wa leo naye atalala Dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…