PostGE2025 Waandamanaji wakata kidole cha raia aliyepiga kura Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭

Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:

“Kila raia ana haki ya kushiriki katika mambo ya utawala wa nchi, moja kwa moja au kwa kupitia wawakilishi aliowachagua kwa uhuru.”

Hivyo basi, kumdhuru mtu kwa sababu ya kura yake ni uvunjifu wa sheria, unyanyasaji wa haki za binadamu, na ni kushambulia msingi wa demokrasia yenyewe.

Kidole hicho kilichopiga kura hakikustahili kukatwa — kilistahili kuheshimiwa.
🇹🇿✊ Haki ya kura ni sauti ya wananchi, si sababu ya mateso.
----------------
​
Kijana Israel Mdoe, mkazi wa Mkoa wa Arusha, amesema tukio lililotokea Oktoba 29, 2025 limemuachia ulemavu wa kudumu na maumivu makali baada ya kukatwa kidole chake cha mkono wa kushoto mara baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru, Mdoe amesema kosa lake kubwa kwa mujibu wa wahalifu hao ni kushiriki kupiga kura na kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ameeleza kuwa baada ya kupiga kura majira ya saa saba mchana jijini Arusha, alipovamiwa na kundi la waandamanaji waliomkamata, kumkagua vidole, na walipobaini kuwa kidole chake kilikuwa na alama ya wino, walianza kumpiga kabla ya kumkata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto. Tukio hilo lilisitishwa baada ya vikosi vya ulinzi na usalama kufika eneo la tukio na kuwatawanya wahalifu hao, hali iliyomwezesha Mdoe kuokoka.

“Kwakweli mimi naiombea nchi yangu amani tu iendelee, maana vurugu za siku moja tu zimeniachia maumivu na ulemavu wa kudumu. Kosa langu kwa wahalifu wale ni kushiriki katika zoezi la kikatiba la upigaji kura, na namshukuru Mungu kwa pumzi,” amesema Mdoe.

Aidha, kijana huyo ameeleza kuwa alishuhudia makundi ya uhalifu na uharibifu yakivamia maeneo mbalimbali, akidai kundi lililomvamia lilikuwa likiongozwa na kijana wa kike, wakiwa wamefunga vitambaa usoni na wengine kujipaka matope kuficha sura zao, huku wakivunja, kuchoma na kuharibu mali katika barabara na mitaa waliyokuwa wakipita

Chanzo: Manara TV
 
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭

Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:

Hivyo basi, kumdhuru mtu kwa sababu ya kura yake ni uvunjifu wa sheria, unyanyasaji wa haki za binadamu, na ni kushambulia msingi wa demokrasia yenyewe.

Kidole hicho kilichopiga kura hakikustahili kukatwa — kilistahili kuheshimiwa.
🇹🇿✊ Haki ya kura ni sauti ya wananchi, si sababu ya mateso.
Inasikitisha sana. Si sawa. Ila ukiwa msaliti, ujue kuna feelings against you.
Ila kumkata kidole si sawa na kuwa msaliti si sawa!
Which is the way forward?
 
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭

Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:

Hivyo basi, kumdhuru mtu kwa sababu ya kura yake ni uvunjifu wa sheria, unyanyasaji wa haki za binadamu, na ni kushambulia msingi wa demokrasia yenyewe.

Kidole hicho kilichopiga kura hakikustahili kukatwa — kilistahili kuheshimiwa.
🇹🇿✊ Haki ya kura ni sauti ya wananchi, si sababu ya mateso.
Michezo
 
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭

Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:

Hivyo basi, kumdhuru mtu kwa sababu ya kura yake ni uvunjifu wa sheria, unyanyasaji wa haki za binadamu, na ni kushambulia msingi wa demokrasia yenyewe.

Kidole hicho kilichopiga kura hakikustahili kukatwa — kilistahili kuheshimiwa.
🇹🇿✊ Haki ya kura ni sauti ya wananchi, si sababu ya mateso.
----------------
​
Kijana Israel Mdoe, mkazi wa Mkoa wa Arusha, amesema tukio lililotokea Oktoba 29, 2025 limemuachia ulemavu wa kudumu na maumivu makali baada ya kukatwa kidole chake cha mkono wa kushoto mara baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru, Mdoe amesema kosa lake kubwa kwa mujibu wa wahalifu hao ni kushiriki kupiga kura na kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ameeleza kuwa baada ya kupiga kura majira ya saa saba mchana jijini Arusha, alipovamiwa na kundi la waandamanaji waliomkamata, kumkagua vidole, na walipobaini kuwa kidole chake kilikuwa na alama ya wino, walianza kumpiga kabla ya kumkata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto. Tukio hilo lilisitishwa baada ya vikosi vya ulinzi na usalama kufika eneo la tukio na kuwatawanya wahalifu hao, hali iliyomwezesha Mdoe kuokoka.

“Kwakweli mimi naiombea nchi yangu amani tu iendelee, maana vurugu za siku moja tu zimeniachia maumivu na ulemavu wa kudumu. Kosa langu kwa wahalifu wale ni kushiriki katika zoezi la kikatiba la upigaji kura, na namshukuru Mungu kwa pumzi,” amesema Mdoe.

Aidha, kijana huyo ameeleza kuwa alishuhudia makundi ya uhalifu na uharibifu yakivamia maeneo mbalimbali, akidai kundi lililomvamia lilikuwa likiongozwa na kijana wa kike, wakiwa wamefunga vitambaa usoni na wengine kujipaka matope kuficha sura zao, huku wakivunja, kuchoma na kuharibu mali katika barabara na mitaa waliyokuwa wakipita.
Tena ana bahati, kidole tu 🤔🤔🤔🤔
 
Ninashangaa hawakumuua mimi ningekuwepo ningekata shingo hiyo....ila maccm bhana.
 
Hao walioenda kupiga kura ni ama ni walemavu wa akili au ni sehemu ya wadhulumaji haki.

Utaendahe kupiga kura wakati ukijua kabisa kura yako haina maana yoyote na wala haihesabiki, kwa sababu matokeo wale madhulumati walikuwa tayari wamekwishayaandaa?

Kama ni walemavu wa akili, basi waonewe huruma, lakini kama ni sehemu ya yale madhulumati, hata yangepoteza vidole vyote hakuna haja ya kuyasikitikia maana majitu hayo ni sehemu ya yale yaliyoua vijana maelfu.
 
Kidole kimekatwa ama mjomba kajikata?

Isijekuwa alikuwa anakata nyanya huko anakuja kusemq kqkatwa, anajua kidole kilichokatwa huyu
 
Duh kwahiyo ilikua bora ukutane na Waandamanaji kuliko Polishi.

Maana waandamanaji wanakata kidole, ila wale janjaweed wanatawanya ubongi kama sio kutoboa utumbo
 
Back
Top Bottom