PostGE2025 Waandamanaji wakata kidole cha raia aliyepiga kura Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Let's drama begin,watu waliofiwa ndugu zao nao watoke mmoja mmoja aeleze machungu ya kuondokewa na wapendwa wao..na picha za marehemu
 
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭

Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:

Hivyo basi, kumdhuru mtu kwa sababu ya kura yake ni uvunjifu wa sheria, unyanyasaji wa haki za binadamu, na ni kushambulia msingi wa demokrasia yenyewe.

Kidole hicho kilichopiga kura hakikustahili kukatwa — kilistahili kuheshimiwa.
🇹🇿✊ Haki ya kura ni sauti ya wananchi, si sababu ya mateso.
----------------
​
Kijana Israel Mdoe, mkazi wa Mkoa wa Arusha, amesema tukio lililotokea Oktoba 29, 2025 limemuachia ulemavu wa kudumu na maumivu makali baada ya kukatwa kidole chake cha mkono wa kushoto mara baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru, Mdoe amesema kosa lake kubwa kwa mujibu wa wahalifu hao ni kushiriki kupiga kura na kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ameeleza kuwa baada ya kupiga kura majira ya saa saba mchana jijini Arusha, alipovamiwa na kundi la waandamanaji waliomkamata, kumkagua vidole, na walipobaini kuwa kidole chake kilikuwa na alama ya wino, walianza kumpiga kabla ya kumkata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto. Tukio hilo lilisitishwa baada ya vikosi vya ulinzi na usalama kufika eneo la tukio na kuwatawanya wahalifu hao, hali iliyomwezesha Mdoe kuokoka.

“Kwakweli mimi naiombea nchi yangu amani tu iendelee, maana vurugu za siku moja tu zimeniachia maumivu na ulemavu wa kudumu. Kosa langu kwa wahalifu wale ni kushiriki katika zoezi la kikatiba la upigaji kura, na namshukuru Mungu kwa pumzi,” amesema Mdoe.

Aidha, kijana huyo ameeleza kuwa alishuhudia makundi ya uhalifu na uharibifu yakivamia maeneo mbalimbali, akidai kundi lililomvamia lilikuwa likiongozwa na kijana wa kike, wakiwa wamefunga vitambaa usoni na wengine kujipaka matope kuficha sura zao, huku wakivunja, kuchoma na kuharibu mali katika barabara na mitaa waliyokuwa wakipita

Chanzo: Manara TV
Huyu mpuuzi tu katengenezwa maccm wenzake ili kiharalisha mauaji ya ndugu zetu,mtu kajichubua na kiwembe heti kidole kimekatwa!kuna watu wamepoteza huai lenyewe linalilia kidole mbwa huyu.
 
Aache kuzua taharuki , mtu anajichanja na wembe halafu aseme amekatwa na majemedari , pumbafu kabisa ,huyo tarehe 09 to tutamtafuta na hicho kidole kwakuwa anasema walikikata basi ahesabu tushachukua .
 
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭

Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:

Hivyo basi, kumdhuru mtu kwa sababu ya kura yake ni uvunjifu wa sheria, unyanyasaji wa haki za binadamu, na ni kushambulia msingi wa demokrasia yenyewe.

Kidole hicho kilichopiga kura hakikustahili kukatwa — kilistahili kuheshimiwa.
🇹🇿✊ Haki ya kura ni sauti ya wananchi, si sababu ya mateso.
----------------
​
Kijana Israel Mdoe, mkazi wa Mkoa wa Arusha, amesema tukio lililotokea Oktoba 29, 2025 limemuachia ulemavu wa kudumu na maumivu makali baada ya kukatwa kidole chake cha mkono wa kushoto mara baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru, Mdoe amesema kosa lake kubwa kwa mujibu wa wahalifu hao ni kushiriki kupiga kura na kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ameeleza kuwa baada ya kupiga kura majira ya saa saba mchana jijini Arusha, alipovamiwa na kundi la waandamanaji waliomkamata, kumkagua vidole, na walipobaini kuwa kidole chake kilikuwa na alama ya wino, walianza kumpiga kabla ya kumkata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto. Tukio hilo lilisitishwa baada ya vikosi vya ulinzi na usalama kufika eneo la tukio na kuwatawanya wahalifu hao, hali iliyomwezesha Mdoe kuokoka.

“Kwakweli mimi naiombea nchi yangu amani tu iendelee, maana vurugu za siku moja tu zimeniachia maumivu na ulemavu wa kudumu. Kosa langu kwa wahalifu wale ni kushiriki katika zoezi la kikatiba la upigaji kura, na namshukuru Mungu kwa pumzi,” amesema Mdoe.

Aidha, kijana huyo ameeleza kuwa alishuhudia makundi ya uhalifu na uharibifu yakivamia maeneo mbalimbali, akidai kundi lililomvamia lilikuwa likiongozwa na kijana wa kike, wakiwa wamefunga vitambaa usoni na wengine kujipaka matope kuficha sura zao, huku wakivunja, kuchoma na kuharibu mali katika barabara na mitaa waliyokuwa wakipita

Chanzo: Manara TV
Huhitaji elimu ya chuo kikuu kujua hayo ni maigizo, ukishasikia mtu anatumia maneno wahalifu na sio waandamanaji, jua huyo kapangwa. Ccm na serekali wana mbinu za kizee mno.
 
Screenshot_20251029_152930_Instagram.jpg
 
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭

Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:

Hivyo basi, kumdhuru mtu kwa sababu ya kura yake ni uvunjifu wa sheria, unyanyasaji wa haki za binadamu, na ni kushambulia msingi wa demokrasia yenyewe.

Kidole hicho kilichopiga kura hakikustahili kukatwa — kilistahili kuheshimiwa.
🇹🇿✊ Haki ya kura ni sauti ya wananchi, si sababu ya mateso.
“Kwakweli mimi naiombea nchi yangu amani tu iendelee, maana vurugu za siku moja tu zimeniachia maumivu na ulemavu wa kudumu. Kosa langu kwa wahalifu wale ni kushiriki katika zoezi la kikatiba la upigaji kura, na namshukuru Mungu kwa pumzi,” amesema Mdoe.
Wewe mwandishi na jamaa mnayeigiza naye kwa kauli hii tu, si kosa kabisa kusema kuwa kumbe nyie ni wajinga na wapumbavu 100% kwa kuwa hata hamjui mnachokitakabna. Na kwa sbb hii mnatakiwa kuelimishwa ili mtoke katika ujinga na upumbavu wenu huo...!

Mnaposema "sisi tunaombea amani tu", hiyo amani itoke wapi katikati ya serikali iliyojaa viongozi waliotokana dhuluma za kiuchaguzi, wezi, wenye kiburi na dharau kuanzia Rais, wabunge na madiwani...?

Hamjui kuwa AMANI ni tunda au matokeo ya kutendeana HAKI sisi kwa sisi...?

AMANI itoke wapi katikati ya jamii yenye serikali iliyojaa DHULUMA dhidi ya HAKI za watu ikiwemo ya kushiriki ktk uchaguzi huru, haki, wazi na wa kuaminika na kila tu ili kupata viongozi tuwatakao kwa rdhaa ya wananchi..?

Kwanza huyo kakatwa kidole au kajichana mwenyewe kwa kiwembe Ili mfanye maigizo ya video hii...?

Sikiliza bwana. HAKUJAWI KUWA NA AMANI POPOTE DUNIANI AMBAPO HAKUNA HAKI, acheni ujinga wenu huo.!!!

Kama CCM wataendelea kudhulumu HAKI zetu raia, hawataiona AMANI kuanzia tarehe 29/ 10/2025 na kuendelea na wakae mkao wa kupokea mateso zaidi...!!

Tutatoka kwa mkupuo 100,000 kuwafuata hayawani wote wa CCM wajifanyao wana midomo.

Ni kweli mnaweza kutuua 100 lakini sisi wengine 99,900 tutamfikia kila Kiongozi wa serikali hii haramu ya CCM, familia yake, watoto wake na mali zake na za washirika wake, tutazitekeza au kuzichukua mikononi mwetu tena maana mmetuibia vya kutisha. Na mkikaa vibaya lazima nanyi muionje mauti Ili m - feel uchungu wa kufa au kufiwa na wapendwa wenu...!

Tena wewe Haji Manara na uzeruzeru wako hata hujionei huruma. Watu wana hamu ya kukula nyama, shauri lako..!!
 
Kidole kipi kimekatwa? Maigizo ya kijinga.. Damu ya panya inanulikana.. Hiyo bandeji imekuumbua.. Kidole kina damu bandeji haina damu... Kidole kimekatwa pingili ya ngapi?

Propaganda za kijinga
 
WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭

Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi:

Hivyo basi, kumdhuru mtu kwa sababu ya kura yake ni uvunjifu wa sheria, unyanyasaji wa haki za binadamu, na ni kushambulia msingi wa demokrasia yenyewe.

Kidole hicho kilichopiga kura hakikustahili kukatwa — kilistahili kuheshimiwa.
🇹🇿✊ Haki ya kura ni sauti ya wananchi, si sababu ya mateso.
----------------
​
Kijana Israel Mdoe, mkazi wa Mkoa wa Arusha, amesema tukio lililotokea Oktoba 29, 2025 limemuachia ulemavu wa kudumu na maumivu makali baada ya kukatwa kidole chake cha mkono wa kushoto mara baada ya kushiriki zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru, Mdoe amesema kosa lake kubwa kwa mujibu wa wahalifu hao ni kushiriki kupiga kura na kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ameeleza kuwa baada ya kupiga kura majira ya saa saba mchana jijini Arusha, alipovamiwa na kundi la waandamanaji waliomkamata, kumkagua vidole, na walipobaini kuwa kidole chake kilikuwa na alama ya wino, walianza kumpiga kabla ya kumkata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto. Tukio hilo lilisitishwa baada ya vikosi vya ulinzi na usalama kufika eneo la tukio na kuwatawanya wahalifu hao, hali iliyomwezesha Mdoe kuokoka.

“Kwakweli mimi naiombea nchi yangu amani tu iendelee, maana vurugu za siku moja tu zimeniachia maumivu na ulemavu wa kudumu. Kosa langu kwa wahalifu wale ni kushiriki katika zoezi la kikatiba la upigaji kura, na namshukuru Mungu kwa pumzi,” amesema Mdoe.

Aidha, kijana huyo ameeleza kuwa alishuhudia makundi ya uhalifu na uharibifu yakivamia maeneo mbalimbali, akidai kundi lililomvamia lilikuwa likiongozwa na kijana wa kike, wakiwa wamefunga vitambaa usoni na wengine kujipaka matope kuficha sura zao, huku wakivunja, kuchoma na kuharibu mali katika barabara na mitaa waliyokuwa wakipita

Chanzo: Manara TV
Hakijakatika, hao ni UVCCM wanafekisha. Wapumbavu sana hao CCM.
 
Back
Top Bottom