Waandikishaji Jimbo la Bukoba Mjini wametapeliwa pesa zao

Waandikishaji Jimbo la Bukoba Mjini wametapeliwa pesa zao

A

Anonymous

Guest
Waandikishaji daftari la wapiga Kura, Bukoba manispaa wametapeliwa pesa zao.

Hawajalipwa kiasi cha pesa elfu sitini ambayo ni malipo ya siku moja.
 
Mwendo wa kunyooshana, watu wana mishahara lakini wanawaonea wanaotafuta pa kuponea.
 
CCM wanazulumiana wenyewe Kwa wenyewee🙆
 
Ndio maana nawaambiaga watumishi wenzangu acheni kuomba hizi kazi zinazosimamiwa na watendaji vijiji na kata Zina sarakasi sana mwisho wa siku utaonekana mwanaharakati bure!!
 
Hivi wameanza kuandikisha wapiga kura mikoa yote,wengine hatuna habari
 
Back
Top Bottom