A Anonymous Guest Aug 12, 2024 #1 Waandikishaji daftari la wapiga Kura, Bukoba manispaa wametapeliwa pesa zao. Hawajalipwa kiasi cha pesa elfu sitini ambayo ni malipo ya siku moja.
Waandikishaji daftari la wapiga Kura, Bukoba manispaa wametapeliwa pesa zao. Hawajalipwa kiasi cha pesa elfu sitini ambayo ni malipo ya siku moja.
Replica JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 1,681 Reaction score 8,887 Aug 19, 2024 #2 Mwendo wa kunyooshana, watu wana mishahara lakini wanawaonea wanaotafuta pa kuponea.
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Aug 19, 2024 #3 CCM wanazulumiana wenyewe Kwa wenyewee🙆
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Aug 19, 2024 #4 Ndio maana nawaambiaga watumishi wenzangu acheni kuomba hizi kazi zinazosimamiwa na watendaji vijiji na kata Zina sarakasi sana mwisho wa siku utaonekana mwanaharakati bure!!
Ndio maana nawaambiaga watumishi wenzangu acheni kuomba hizi kazi zinazosimamiwa na watendaji vijiji na kata Zina sarakasi sana mwisho wa siku utaonekana mwanaharakati bure!!
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Aug 19, 2024 #5 Waalimu ndo waathirika wakuu.
Anko Bantu JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 832 Reaction score 1,034 Aug 19, 2024 #6 Hivi wameanza kuandikisha wapiga kura mikoa yote,wengine hatuna habari