Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Kwa hiyo walimwita kwa nia gani? Ili wamsute? Ndio kazi ya waandishi habari? Nina imani unapomkaribisha mtu kwa mahojiano, ataongea anachotaka, si kuna uhuru wa kujieleza? Kama atatakiwa kuthibitisha, basi sio na waandishi wa habari bali ni vyombo au taasisi husika, kwa kuwa waandishi pia hawataweza kuthibitisha usahihi wa anachosema mgeni wao.
Watoe taarifa ya corona si mkuu wa mkoa.
Waandishi makanjanja hao, je wamehoji kwa nini hawana taarifa za kinachoendelea juu ya corona?
Clouds haina wawakilishi Arusha wakahoji tabibu na wakunga au mamlaka za mkoa kujua ukweli? Wameganda studio kusubiri waletewe taarifa badala ya kuzifuata!
Sent using Jamii Forums mobile app