Waandishi Clouds 360 wamshukia kama mwewe wakili Msando kwa kupotosha kuwa Arusha hali ni mbaya kwa Corona

Kwa hiyo walimwita kwa nia gani? Ili wamsute? Ndio kazi ya waandishi habari? Nina imani unapomkaribisha mtu kwa mahojiano, ataongea anachotaka, si kuna uhuru wa kujieleza? Kama atatakiwa kuthibitisha, basi sio na waandishi wa habari bali ni vyombo au taasisi husika, kwa kuwa waandishi pia hawataweza kuthibitisha usahihi wa anachosema mgeni wao.
Watoe taarifa ya corona si mkuu wa mkoa.
Waandishi makanjanja hao, je wamehoji kwa nini hawana taarifa za kinachoendelea juu ya corona?
Clouds haina wawakilishi Arusha wakahoji tabibu na wakunga au mamlaka za mkoa kujua ukweli? Wameganda studio kusubiri waletewe taarifa badala ya kuzifuata!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali kuwa mbaya si ndio wao wanaona huko mitaani wanapokaa? Yaani unasubiri serikali ikwambie watu wanakufa na corona sana? Bashite kashakwambia DAR watu wanapukutika ,Majaliwa kakwambia wagonjwa ni wengi,sasa unasubiri mpaka gambo akwambie?
 
Hawa na msando wote wanatengeneza drama kututoa kwenye reli. Serikali inatakiwa kutoa taarifa na waandishi wanatakiwa kutafuta habari kuibua hoja, wote hawafanyi wanachotakiwa kufanya.
Wasitupotezee muda.


Sent using Jamii Forums mobile app

Tanzania kuna maripota hamna waandishi


Waandishi ni kina originaleast na mangekimambi ndo walobakia
 
Mungu nimesoma comment moja baada ya nyingine.. Jumla 46.. Sijaona moja ikiwatetea, kuna moja tu ya msisiemu lakini bado haikidhi vigezo
Hawa waandishi wajitafakari tena.. Hasa kama watausoma huu uzi... WAJITAFAKARI.. hawana heshima na wamedharaulika mno... Kama wana AKILI.. narudia KAMA WANA AKILI.. WAJITAFAKARI

Jr[emoji769]
 
Clouds Kuna watangazaji wa habari au wachekeshaji wa habari?!!!!!!!!!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo neno Nguli lifutwe yaani clouds Kuna Nguli wa habari acha masikhara bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clouds p....fu ndio maana nasikializa saa tatu usiku tuuuhh@shafiiRwambanombwiga
 
Kutenga muda kumtazama na kumsikiliza Hassan Ngoma ni matumizi mabaya ya rasilimali muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…