Waandishi wa Gazeti la Observer ni kina nani, wanaandika broken English

Hizi picha ni za kweli kabisa? Si "photoshop"?

Maana lazima niulize.

Kama za kweli.

Tumetoka siku za kina Benjamin Mkapa, Sammy Mdee, Paul Sozigwa, Mustapha Nyang'anyi, Ulli Mwambulukutu, Wilson Kaigarula na wengine wengi kama hao.

Waandishi na wanahabari waliofanya kazi kwa umakini sana.

Tumefikake hapa?
 
Tumefikia kwa wahariri kina Sypiriani.
Hapo interview unaulizwa Kama unaujua ule wimbo wa diamond unaosema " hawawezi kushindana nasi hata wakiungana"
 
Sasa angalia pale chini ya maneno "inside"
Investing in Port infrastructure boosts TRAFFICK and shit.

Kiingereza hichi adimu kinaongelewa na Dada joy na mhusika wa wedi bank ya Bunda
 
Lina haririwa Lumumba hilo
 
Stakeholders to reveals.... mamamaamamae walah
 
Cha ajabu ni kipi hapo wakati kiongozi wenu no1 nchini kingereza chake ni heri hilo gazeti!
 
Mbona Pasco yupo? Sasa hivi anavizia teuzi za wakuu wa vitongoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…