We huoni?Aibu gani? Msafara ulikosa mkalimani kiswahili kwenda kiingereza nchi Zimbabwe! Inatosha hivyo hivyo asiyependa asinunue akachapishe lakwake asome na shangazi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We huoni?Aibu gani? Msafara ulikosa mkalimani kiswahili kwenda kiingereza nchi Zimbabwe! Inatosha hivyo hivyo asiyependa asinunue akachapishe lakwake asome na shangazi yake.
CCM oyeee magazeti ya Musiba hayoView attachment 1644102
Kwa kweli hii ni aibu kubwa kama wasomi tunaabishwa sana. Nani mwandishi na mhariri wa gazeti hili?
To meet with stakeholder....stakeholders to reveals reasons....we are recognize national unity. Hii ni lugha gani wakuu. Naona ni lugha inayofanana na Kingereza lakini sio chenyewe