Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Sep 9, 2024 #21 Waka Waka said: Wandishi wa Tanganyika wanawaza teuzi tu wao na chama chao. All the best Click to expand... Basi wangewaza kuteuliwa watumikie watanzania lakini wanawaza teuzi waibe mali za umma watajirike haraka
Waka Waka said: Wandishi wa Tanganyika wanawaza teuzi tu wao na chama chao. All the best Click to expand... Basi wangewaza kuteuliwa watumikie watanzania lakini wanawaza teuzi waibe mali za umma watajirike haraka
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Sep 9, 2024 #22 Waka Waka said: Wandishi wa Tanganyika wanawaza teuzi tu wao na chama chao. All the best Click to expand... Bila kuahirisha kufikiri kizalendo hakuna teuzi a.k.a kujizima data
Waka Waka said: Wandishi wa Tanganyika wanawaza teuzi tu wao na chama chao. All the best Click to expand... Bila kuahirisha kufikiri kizalendo hakuna teuzi a.k.a kujizima data
THE FIRST BORN JF-Expert Member Joined Apr 24, 2019 Posts 2,224 Reaction score 4,472 Sep 9, 2024 Thread starter #23 TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Pascal Mayalla anapita kama hauoni Uzi huu Click to expand... I hope saiv yupo anaandaa uzi wa kuyakemea haya. Uongo dhambi I will be very proud akisemea haya katika mtiririko wa zile habari zake.. since ni Mwana Ilboru Mwenzangu yule(Wala Kitei wa Rungwe😂) Ila akifyata halaf anakuja na issue za katiba daily na anasema kwa maslahi ya Taifa inachukizaga sana.
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Pascal Mayalla anapita kama hauoni Uzi huu Click to expand... I hope saiv yupo anaandaa uzi wa kuyakemea haya. Uongo dhambi I will be very proud akisemea haya katika mtiririko wa zile habari zake.. since ni Mwana Ilboru Mwenzangu yule(Wala Kitei wa Rungwe😂) Ila akifyata halaf anakuja na issue za katiba daily na anasema kwa maslahi ya Taifa inachukizaga sana.
Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,045 Reaction score 643 Sep 9, 2024 #24 Where we dare to talk openly. Zama zimeenda, humu palikuwa pamoto haswa, constructively!