Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

Pascal Mayalla anapita kama hauoni Uzi huu
I hope saiv yupo anaandaa uzi wa kuyakemea haya.

Uongo dhambi I will be very proud akisemea haya katika mtiririko wa zile habari zake.. since ni Mwana Ilboru Mwenzangu yule(Wala Kitei wa Rungwe😂)
Ila akifyata halaf anakuja na issue za katiba daily na anasema kwa maslahi ya Taifa inachukizaga sana.
 
Where we dare to talk openly. Zama zimeenda, humu palikuwa pamoto haswa, constructively!
 
Back
Top Bottom