Waandishi wa habari Tz acheni uandishi wa kijiweni

Waandishi wa habari Tz acheni uandishi wa kijiweni

It depends on the altitude of their readers or targeted group. Ref The Sun - UK.
 
Katikati vingi vizito vinavyokera hapa nchini,hicho tu ndio kinakukera sana mpaka unaandika uzi?
 
Unategemea nini kwa wao wamesoma mavyuo siku hizi yako kama uyoga kama makanisa vile ...vichochoroni huko ..sijajua wananchifundishwa ni nini ...
 
Back
Top Bottom