Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....

1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?

Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.

Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
Wengi ya waandishi wa habari ni wale tunaowaita "Praise & worship team for Magufuli" kwa hiyo isitegemee "any critical question" toka kwao watakalomuuliza Jiwe
 
Inahitaji kuwa na waandishi wa habari ambao ni impartial na non-partisan.

Kwa Tanzania ni mara chache sana kuwa na watu na waandishi wasioegema upande wowote
 
Magufuli ana phd
Lissu ana ki masters tu

Lissu lazima apigwe
Unajua hata Maji Marefu alikuwa Professor, siku hizi PhD ziko nyingi na nyingi hizo ni feki.

Kumbuka hakuna aliyewahi kuona Thesis ya Magufuli na hicho ndicho kimekuwa chanzo cha Beny Saanane kupotea. Sasa tusidanganyane tafadhali.
 
Phd ya Magufuli ni OG.
Aliinunua ikiwa mpyaaaa kabisaaaa kwenye maganda yake ya korosho
 
Unajua hata Maji Marefu alikuwa Professor, siku hizi PhD ziko nyingi na nyingi hizo ni feki.

Kumbuka hakuna aliyewahi kuona Thesis ya Magufuli na hicho ndicho kimekuwa chanzo cha Beny Saanane kupotea. Sasa tusidanganyane tafadhali.
Alisema thesis yake ipo Mlimani pale
 
Kwa unafki ulionao unastahili siku zote za maisha yako kuwa mwanaccm.

Hatujasahu kama uliwahi kuleta ule uzi ukisema huyo unayemuita GENIUS amedanja
Dah umenikumbisha mbwembwe za jamaa kwenye ule uzi aisee! Kuna watu wana ujuaji mwingi aisee na aibu hawana.
 
Number 2 ungalijiuliza ww Yale majengo yanalindwa na nani na kwanini siku anapigwa risasi walinzi waliondolewa na ninani aliye waondoa na jee ninani aliye kwenda kutoa CCTV camera ktk eneo alilipigwa lisu na jee kwanini wabunge wa ccm wazuiwe wasiende kumjuilia hali lisu na jee kwanini akavuliwa ubunge na jee kwanini akanyimwa haki yake ya kutibiwa na bunge wakati ndungai yy alitibiwa na bunge hebu jiulize hivo kwanza

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Angeanza na katiba ya chadema. Au kwa sababu katiba ya chadema inamfeva yeye ambaye hawezi kuguswa na mwenyekiti huku wengine wanaumizwa? Na wakijaribu kutafuta haki yeye ndio anakuwa wa kwanza kuwashambulia.

Kuna mtu alisema uongozi na udikteta hauepukiki..isipokuwa unategemea tu upo level gani ya uongozi.
Katiba ya chadema inamfavour mambo gani ambayo wachama wengine hawapati?
 
Huna akili matako wewe..utakuwa hata Ulaya hujafika..wadanganye mbwa wenzako..

Kwani Kufika au Kuishi 'Ulaya' ndiyo 'Kipimo' cha Mtu ( Mwafrika ) kuwa na Akili? Pumbavu nina 'Akili' hadi Mimi mwenyewe huwa ninajishangaa tu.
 
We umesoma bba hapo SAUT unajiona mwamba kweli kuna watu wamesoma mavyuo ya maana wala hawajitapi, we ndo umekariri make swali lako linaeza ulizwa kwa namna/style hata mia na bado likawa na mantiki ileile elewa juha wewe!

Kumbe Wanafunzi wanaosoma Mawasiliano ya Umma ( SAUT ) Kozi yao inaitwa BBA? Nilikuwa sijui Asante kwa Kunielimisha Leo 'Pumbavu' Wewe.
 
We ni mpumbavu na lofa unajitapa una akili ndo uulize swali la kipumbavu kama hilo la nne?

Siyo tu kwamba nina 'Akili' bali malizia kabisa kwa kusema kuwa GENTAMYCINE ni 'Einstein / Brainiac' ambaye 'ametukuka' kabisa tu sawa? Idiot!!!
 
I'm done sitahangaika na wewe tena nimeshagundua nabishana na litaahira la chuo cha Kata!

Siyo kwamba tu hutaki 'Kuhangaika' nami bali huna 'IQ' ya Kujenga 'Hoja' na Mimi Pumbavu. Na niko 'Proud' kuwa zao la SAUT Mwanza kwa 100%.
 
Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....

1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?

Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.

Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.

..TL anaweza kujibu maswali yote hayo.

..tatizo ni kama kuna chombo cha habari chenye ujasiri wa kutangaza majibu ya TL.

..ili uwe fair ungependekeza Raisi naye aulizwe kwanini serikali haikutoa msaada wa kumsafirisha TL kwenda Nairobi.

..pia Raisi aulizwe kwanini kitendo chake cha kumnyima TL fedha za matibabu kisitafsiriwe kama chuki ya wazi dhidi ya mbunge huyo.
 
Mkuu utakuwa umepanik tu mm sijabishana na ww kuhusu huyo mtangazaji farhia, kingine nataka nikuulize kati ya Dotto Emanuel Bulendu na ndg yako Alocye Nyanda Nani anauwezo wa kuuliza maswali yaliyoenda shule??

'aliyekuzaa' ndiyo ana 'Uwezo' zaidi yao. Mnafiki mkubwa Wewe hebu nitokee hapa!
 
Najua nakukera kwa kuwa nimekudhibiti vilivyo ndo maana mpk unatukana ...mm sintakutukana nitakwenda na ww hivyo hivyo ili niuujue upumbavu wako ulipoishia

Aliyekutapika 'Kibaiolojia' Leba ( Wodi ya Uzazi ) ndiyo ana 'Upumbavu' zaidi yangu.
 
Nimejaribu pia kusoma na comment zako, waambie SAUT wakakufunze vizuri / hujaelewa ulicho fundishwa, inaonyesha hujui utilize nini wakati gani na pahala gani halafu kumbuka yule mwandishi wa habari sio mbaguzi maswali yako ni mepesi halafu ni ya kibaguzi sana....totally nothing

Idiot.
 
Kwahiyo hivi ndo viswali ambavyo Lissu angeshindwa kujibu?[emoji2][emoji2][emoji2]

IQ ya Lissu ni kubwa kushinda hivi viswali vyako.Duniani huko kaaulizwa maswali 'technical' na yote kayajibu kwa weledi wa juu mno sembuse huu UTOPOLO[emoji848]!!.

Hivi kumbe Mtu akisema Mgeni ahojiwe 'Critical Questions' anakuwa amemaanisha anayehojiwa ashindwe Kuyajibu? Kuna Watu ni Majuha hapa JF.
 
Back
Top Bottom