Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Ukiona hadi Chuo Kikuu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo ) Mimi nimesoma jua hapo kuna 'Geniuses' tu.
 
Ili neno IQ linatumika vibaya. Mi nlitegemea ngekuta maswali ya mtu mwenye akili. Kumbe ni the same stupid questions. Miaka hii tunakwama sana kupata kizazi chenye akili.
 
Aliyekutapika 'Kibaiolojia' Leba ( Wodi ya Uzazi ) ndiyo ana 'Upumbavu' zaidi yangu.
Umeonyesha ulivyo mpumbavu huku unajiita msomi ...hayo ndo majibu ya mpumbavu akijaribu kuficha upumbavu wake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania hakuna waandishi wa habari. Kuna reporters tu yaani.

Asante mno Mkuu na ninakubaliana nawe katika hili kwa 100% kabisa. Umemaliza kila Kitu kwa Kusema 'Ukweli' mzima wa 'Tasnia' yenyewe ilivyo.
 
Umeonyesha ulivyo mpumbavu huku unajiita msomi ...hayo ndo majibu ya mpumbavu akijaribu kuficha upumbavu wake [emoji23][emoji23][emoji23]

'Imeshapenya' hiyo au unataka 'nikuongezee' nyingine?
 
Hahahahaha ntahahakisha mpk unajirekebisha na upumbavu wako ...unajitia aibu bure

Wamenishindwa na Walinishindwa 'Magwiji' hapa hadi wakaomba 'Po' Kwangu utakuwa 'Kisokolokwinyo' Mmoja tu Wewe uliyejawa na 'Ujuha' mno?
 
Waliamua kukupuuza tu mkuu ..unafikiri ni wote wanaweza kuandika upumbavu hapa?? Usifikiri walikushindwa bali walikupuuza tu
 
Sasa kama umeshaniona Mimi ni Mpuuzi mbona bado tu unaendelea 'Kupuuzika' hivi na Mimi? au labda na Wewe ni Pacha wangu katika Upuuzi JF?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bc mkuu ..
 
Ngoja na mm nikupuuze tu Kama hao wengine

Sawa 'Mpuuzi Mwandamizi' Mwenzangu hapa JF nimekusikia na pia 'umeeleweka' vyema tu na hata wale 'Wanabodi' uliowasemea pale mwanzoni.
 
Ukiona hadi Chuo Kikuu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo ) Mimi nimesoma jua hapo kuna 'Geniuses' tu.
Sawa 'Mpuuzi Mwandamizi' Mwenzangu hapa JF nimekusikia na pia 'umeeleweka' vyema tu na hata wale 'Wanabodi' uliowasemea pale mwanzoni.
Unaharibia hicho chuo sifa, itaonekana kinafundishs kutukana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…