Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Maswali yako ni mepesi sana kwa kila mwana cdm ila ungeyaelekeza ccm ni magumu mno!
 
Meko akifanya mdahalo na Lissu zikifika dakika 30 betri la moyo halijadondoka na kuiaga world, wanaojulikana waje wanichukue kwa Pingu na DPP anifungulie kesi ya uhaini (treason case).
 
 
Rudi unasoma tena shule bado mweupe kichwani inavyoonyesha tuu 😀😀😀

Sasa kama umeshajua Mimi ni mweupe Kichwani unachoendelea Kuhangaika na huu Uzi wangu ni nini? Kwani 'threads' ze Werevu hapa hujaziona?
 
Hayo maswali kwanini usimuulize wewe,au hao watangazaji uliowataja kwanini wasimtafute ili wamuulize hayo maswali nadhani ungewashauri hao watangazaji wako wamtafute wamuulize hayo maswali
 

Kabisa umemaliza kila kitu
 
Hayo maswali kwanini usimuulize wewe,au hao watangazaji uliowataja kwanini wasimtafute ili wamuulize hayo maswali nadhani ungewashauri hao watangazaji wako wamtafute wamuulize hayo maswali

Tatizo lako nini Mkuu mbona 'unateseka' sana hivi?
 
Swali la maana hapo ni moja tu namba sita, haya mengine ni umbeya tu toka inzi tusiowapenda wale wa kijani.
 
Nimeyapenda maswali yako cos yanamantiki sana
Una yaona yana mantiki kwasababu hujataka kufikiri japo kidogo. Baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi watu wengi walipendekeza cctv kamera zilizo kuwa nyumbani kwa waziri Kalemani zitumike kuwabaini walio mpiga . Kesho yake ziliondolewa haraka sana ili kufuta ushahidi. CHADEMA walipo omba ufanyike uchunguzi huru juu ya tukio hilo, serikali ikakataa. Bado hujajua tu nani alihusika ?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanasiasa sio watu wa kuwanyamazisha kirahisi hivyo wana maneno sana yaani wanaongea hadi unasahau uliuliza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…