Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano:
1. Kesi ya Mbowe
2. Usalama wa Lisu akirejea nchini
3. Uhuru wa vyama vya siasa
3. Katiba mpya
4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine.
Wakati mwingine mama alikuwa anatoa majibu kwa short cut hatoi maelezo ya kueleweka mfano alimwbia Kikeke nenda kawaulize wafuasi wa Mbowe hahahaa.
Ingekuwa waandishi wetu wanahoji wangeuliza tu
1. Ujenzi wa madarasa
2. Matunda ya safari za Dubai na Belgium.