Waandishi wa habari wa Tanzania jifunzeni kwa wenzenu wa nje

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano:
1. Kesi ya Mbowe
2. Usalama wa Lisu akirejea nchini
3. Uhuru wa vyama vya siasa
3. Katiba mpya
4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine.
Wakati mwingine mama alikuwa anatoa majibu kwa short cut hatoi maelezo ya kueleweka mfano alimwbia Kikeke nenda kawaulize wafuasi wa Mbowe hahahaa.

Ingekuwa waandishi wetu wanahoji wangeuliza tu
1. Ujenzi wa madarasa
2. Matunda ya safari za Dubai na Belgium.
 
Nahisi nilikia pia amezungumzia kushuka kwa bei ya mafuta kula, sukari, ngano na...... sjui nini kile ngoja nijaribu kukumbuka
 
Nimesikia anawapeleka soon makomandoo 200 wa JWTZ wakamchomoe comedian Zelensky Kyiv. Tanzania tuko imara sana.
 
Kikeke ametoka na yupo chombo kikubwa.
Unataka hata mwandishi wa Clouds afanye hivyo ili clouds iwekwe kwenye ()
 
Hata huyo kwa kupewa opportunity ya kumuhoji mara mbili sitashangaa kama alipeleka script kabla ya nini cha kuhoji na nini cha kuacha...

Politicians siku hizi ukiwa na maswali magumu hachelewi kuku-blacklist....

Huu ulimwengu ushakuwa wa kinafiki..., refer Trump na Fox News au alivyokuwa hawapi nafasi CNN...., Nashauri hawa viongozi mara chache kuwe na Maswali na Majibu live kutoka kwa wananchi...., Hivi vyombo vimegeuka kuwa outlet ya Propaganda tu....
 
Hawawezi kukubali maswali ya live na wananchi
 
Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano:
1. Kesi ya Mbowe
2. Usalama wa Lisu akirejea nchini
3. Uhuru wa vyama vya siasa
3. Katiba mpya
4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine.
Wakati mwingine mama alikuwa anatoa majibu kwa short cut hatoi maelezo ya kueleweka mfano alimwbia Kikeke nenda kawaulize wafuasi wa Mbowe hahahaa.

Ingekuwa waandishi wetu wanahoji wangeuliza tu
1. Ujenzi wa madarasa
2. Matunda ya safari za Dubai na Belgium.
Wa tz wanauliza yale tu ambayo angependa kuyasikia tu,,
 
Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano:
1. Kesi ya Mbowe
2. Usalama wa Lisu akirejea nchini
3. Uhuru wa vyama vya siasa
3. Katiba mpya
4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine.
Wakati mwingine mama alikuwa anatoa majibu kwa short cut hatoi maelezo ya kueleweka mfano alimwbia Kikeke nenda kawaulize wafuasi wa Mbowe hahahaa.

Ingekuwa waandishi wetu wanahoji wangeuliza tu
1. Ujenzi wa madarasa
2. Matunda ya safari za Dubai na Belgium.
Hata huyo Salim Kikeke ni mtanzania kamili yaani mbongo anayefanya kazi huko Ughaibuni.
 
Back
Top Bottom