Kikeke yupo huru ana ngao na kinga kubwa
Hawawezi kukubali maswali ya live na wananchiHata huyo kwa kupewa opportunity ya kumuhoji mara mbili sitashangaa kama alipeleka script kabla ya nini cha kuhoji na nini cha kuacha...
Politicians siku hizi ukiwa na maswali magumu hachelewi kuku-blacklist....
Huu ulimwengu ushakuwa wa kinafiki..., refer Trump na Fox News au alivyokuwa hawapi nafasi CNN...., Nashauri hawa viongozi mara chache kuwe na Maswali na Majibu live kutoka kwa wananchi...., Hivi vyombo vimegeuka kuwa outlet ya Propaganda tu....
Wa tz wanauliza yale tu ambayo angependa kuyasikia tu,,Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano:
1. Kesi ya Mbowe
2. Usalama wa Lisu akirejea nchini
3. Uhuru wa vyama vya siasa
3. Katiba mpya
4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine.
Wakati mwingine mama alikuwa anatoa majibu kwa short cut hatoi maelezo ya kueleweka mfano alimwbia Kikeke nenda kawaulize wafuasi wa Mbowe hahahaa.
Ingekuwa waandishi wetu wanahoji wangeuliza tu
1. Ujenzi wa madarasa
2. Matunda ya safari za Dubai na Belgium.
Hata huyo Salim Kikeke ni mtanzania kamili yaani mbongo anayefanya kazi huko Ughaibuni.Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano: