GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa Tanzania, Rais wa Tanzania na Watanzania wote kwa ujumla.
Haya Waandishi wa Habari wa Tanzania kama vipi waombeni Waandaji wa Shindano hili hawa SADC kuwa mnawaomba kwa Msimu ujao / mpya wa Shindano kama ikiwapendeza basi waweke Kipengele kipya cha Tuzo Maalum kwa Waandishi wa Habari wenye Uzoefu mkubwa wa Kujipendekeza kama siyo Kujikomba kwa Watawala Wao ili wakumbukwe katika Teuzi.