Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama wa vyombo vya habari kwenye maeneo ya vita.
Katika tukio la hivi karibuni mwandishi wa habari Ahmed Mansour alipata majeraha mabaya ya moto kufuatia shambulio la anga lililolenga hema la wanahabari huko Khan Younis, Gaza, siku ya Jumatatu, na kufariki dunia baadaye kutokana na majeraha hayo.
Hata hivyo Mashirika ya habari na taasisi za haki za binadamu zimeendelea kulaani mashambulizi hayo, yakisisitiza kuwa waandishi wa habari wanapaswa kulindwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa.