Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Dahh.. kuna nchi vita ni sehemu ya maisha.
Acha wafe tu maana kama huyo Ahmed Mansour aliongozana na magaidi wa Hamas huku akipiga picha Mauaji ya kutisha na yakawa yanarusha Live Aljazeera mtu kama huyo angekuwa mwema angeweza kuokoa watu wengi sana hata kuzuia shambulio kama hilo lakini kwa sababu na yeye alikuwa naye ni mshirika wa huo uovu acha afe tu maana hakuna namna attendance kukutana na waliokuwa walipigwa risasi wakati yeye anapiga picha. Gaza hakuna waandishi wa Habari wote ni magaidi tu waliojivika ngozi ya uandishi wa Habari!!!!Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama wa vyombo vya habari kwenye maeneo ya vita.
Katika tukio la hivi karibuni mwandishi wa habari Ahmed Mansour alipata majeraha mabaya ya moto kufuatia shambulio la anga lililolenga hema la wanahabari huko Khan Younis, Gaza, siku ya Jumatatu, na kufariki dunia baadaye kutokana na majeraha hayo.
Hata hivyo Mashirika ya habari na taasisi za haki za binadamu zimeendelea kulaani mashambulizi hayo, yakisisitiza kuwa waandishi wa habari wanapaswa kulindwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
Magaidi katika kichaka cha uandishi wa habari hao sio wa kuonea huruma!Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama wa vyombo vya habari kwenye maeneo ya vita.