Waandishi wa habari 4 mkoani Mtwara wamepata ajali ya gari na baadhi yao kuumia wakiwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa huo Brigedia Jen.Marco Gaguti.
Gari lililopata ajali liliwabeba John Kasembe(Azam TV), Anne Roby(Daily News),Adam Malima(Chanel Ten) na Baraka Jamal(Safari Redio) https://t.co/9EjSupG72i
Ajali kama hii ,kutokana na picha hiyo hii gari ilikua haina roadworthy ya kuwa barabarani, wapi airbags mbona sizioni kama ziliachia?,angalia hizo tyres zake naona tread kipara kabisa, na haya magari yana service book?