Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa".
Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni haya yakisemwa kama ni mafanikio zaidi ya kupata dhihaka kwa kuitwa "Mwakarobo"
Mifano ipo mingi sana hata watangazaji wa Azamtv wanavyotangaza mechi za Simba utaona kabisa huwa hawana furaha Simba ikishinda kuliko ikifungwa.
Jee waandishi wengi wa habari za michezo Tanzania ni utopolo?