Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
PANGANI SCKuna huyu mwandishi ni mwana Simba wazi aliwahi kusema neno lakini makolo ndio waliongoza kumpopoa. Kwa lugha nyepesi huwa mnapenda kubembelezwa sana mpetiwe petiwe kipuuzi utafikiri nyie wageni au vibaby. Shenzi kabisa acheni utoto
Wazee wa kujidunga sindano mmekosa hojaYanga waliitwa wakimataifa kwakua Simba alikua wa hapahapa/ Mchangani.
Yanga hivi karibuni kacheza fainali hakuna mtu ata angaika na timu inaishia robo mara saba katika mashindano ya CAF.
licha ya kulitia taifa ya kashfa za ulozi hadharani na kupulizia dawa vyumbani ili timu ipate matokeo.
Sijafikia kuwa kama Mzee MpiliπππUnazeeka vibaya
Mimi kama mshabiki kindakindaki wa Simba, nakushauri urudi tu kushabikia timu yako ya Lipuli. Huku hakukufai.Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa".
Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni haya yakisemwa kama ni mafanikio zaidi ya kupata dhihaka kwa kuitwa "Mwakarobo"
Mifano ipo mingi sana hata watangazaji wa Azamtv wanavyotangaza mechi za Simba utaona kabisa huwa hawana furaha Simba ikishinda kuliko ikifungwa.
Jee waandishi wengi wa habari za michezo Tanzania ni utopolo?
Duh Hata wewe mkuuZama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa".
Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni haya yakisemwa kama ni mafanikio zaidi ya kupata dhihaka kwa kuitwa "Mwakarobo"
Mifano ipo mingi sana hata watangazaji wa Azamtv wanavyotangaza mechi za Simba utaona kabisa huwa hawana furaha Simba ikishinda kuliko ikifungwa.
Jee waandishi wengi wa habari za michezo Tanzania ni utopolo?
Wengi wako kwenye pay roll ya gsm.Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa".
Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni haya yakisemwa kama ni mafanikio zaidi ya kupata dhihaka kwa kuitwa "Mwakarobo"
Mifano ipo mingi sana hata watangazaji wa Azamtv wanavyotangaza mechi za Simba utaona kabisa huwa hawana furaha Simba ikishinda kuliko ikifungwa.
Jee waandishi wengi wa habari za michezo Tanzania ni utopolo?
Nimetumwa na JakayaπππDuh Hata wewe mkuu