Waandishi wa Habari za michezo wagome kwenda kwenye press conference za Manara hadi awaombe msamaha

Waandishi wa Habari za michezo wagome kwenda kwenye press conference za Manara hadi awaombe msamaha

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele.

Amekuwa na tabia hii mbaya kwa kujirudia lakini waandishi hawamchukulii hatua, na mbaya zaidi wengine walicheka kitendo alichofanyiwa Prisca.

Hawafahamu kwamba wao ndiyo wanampa Manara kazi. Japo yeye Manara anafikiri yeye ndiye anawapa waandishi kazi. Wakigoma kufanya naye kazi anakuwa Jobless.

Nawashauri wagome kufanya naye kazi hadi aombe msamaha au Simba watafute msemaji mwingine.
 
Watakuwa wamempunguzia utumiaji wa kalorizi bila mpango maalum.😝😝😝😝😝
 
Magazeti yao watanunua GSM tu labda
 
Waandishi wenyewe ni hawa wakina Zembwela na kina Mbwiga!!
 
Safi sana waandishi wa habari mnao jitambua. Acheni kabisa kuhudhuria mikutano ya huyo mwendawazimu mpaka hapo akili yake itakapo tengemaa.
 
Kumbe kupaniki kwa Manara na lile povu kwa Mwandishi kumesababisha uchuro wa Simba kufungwa.
 
Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele.

Amekuwa na tabia hii mbaya kwa kujirudia lakini waandishi hawamchukulii hatua, na mbaya zaidi wengine walicheka kitendo alichofanyiwa Prisca.

Hawafahamu kwamba wao ndiyo wanampa Manara kazi. Japo yeye Manara anafikiri yeye ndiye anawapa waandishi kazi. Wakigoma kufanya naye kazi anakuwa Jobless.

Nawashauri wagome kufanya naye kazi hadi aombe msamaha au Simba watafute msemaji mwingine.
100℅ naunga mkono hoja,zeruzeru anadharau sana
 
Manara ni kichaa, me nilishasemaga kuwa "Hawa waandishi wanafuata nini kwenye press conference za huyu kichaa..?
 
Mimi ni mwana Simba ila kila siku naulizaga mbona kwa wenzetu sioini haya ya msemaji wa team ,mbali ya manager/ cach
 
Tunao kweli waandishi wa habari?Au hawa wazushi wa Mitandao??
 
Back
Top Bottom