Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Mi nilidhani anaenda kwa ndalichako kumbe huko aliposoma ambapo ni rahisi kununua watu na kuwaambia wazungumze nin
Jamaa ni zero kabisa katika strategic plan zake
 
Hebu niulize chochote kuhusiana na maeneo niliyoyataja (Azania - UDSM) kuanzia Walimu/Wanafunzi na vituko vyao mpaka majina ya utani na kama kuna watu walipita huko watakubaliana na mimi. Unakuwa mbulula kama Bashite mwambie hapa ni cheti tu hana jinsi!
Anayo jinsi ndio maana hajaonyesha mpk sasa
 
Hivi Daudi kuna ugumu gani wewe kufungua kabati na kutuonesha cheti mpaka utume watu 10 kijijini kwenda kukusanya habari?
Huenda kweli amefoji cheti lkn hii haitoshi kuthibitisha bila kumfikisha mahakamani tunamtarajia gwajima atautumia ushahidi alio nao kumtia hatiani.
 
Sasa Waandishi wa habari ndo wanajua vyeti vyake vilipo?

Yeye mwenyewe kwa kupenda media analikuza hili jambo to the national level, matokeo yake anamcost aliyemteua maana kila raia sasa atajua kuwa pengine ana vyeti feki lakini hatumbuliwi!!! Na hii Wapinzani wataikomalia mpaka basi huko kwa wananchi!!
Kumbe lengo ni kupata chati kisiasa sio kumfikisha kwenye vyombo vya sheria?
 
Hivi haiwezekani mtu binafsi kufungua kesi dhidi ya mtu aliyeghushi vyeti ni mpaka jamhuri tu ndiyo inayoweza kumfungulia mashitaka?

Wataalam wa sheria hebu nisaidieni hili
Inawezekana kabisa tena ushahidi upo kwa gwajima nashangaa wanangoja nini.
 
Tatizo lilopo ni sifa nyingi alizomwagiliwa na Rais sasa hapo inampa Rais kazi kubwa kumuondoa mara moja baada ya uchunguzi wa TISS, Criminal investigation department. TAKUKURU na Prof Ndalichako na mama Kairuki kutoa repoti zao kuhusu mr Bashite Daudi kutumia cheti cha mtu! Hii itakuwa ndo mwanzo wa downfall wa kiongozi mkuu kama atafumbia macho mambo ya forgery ya elimu na kazi kwa (presidential appointments)wateule wake!mbon Kitwanga ni wa kabila moja lakini hakusita kumtumbua!
Mtasubiri sana...sasa hivi ni MAKONDA THE RC RELOADED.
 
Pia jiulize huyo Paul Christian anayesemekana vyeti vyake vimetumiwa na Bashite mbona hatujamuona au hata ndugu zake kueleza alipo? Hadithi yenu imekosa mashiko
Km imekosa mashiko mwambie atoke na vyeti mkononi mbona kitu rahisi anaogopa nini kwani?Unadhani kwa kukaa kimya ndo soo lake litaisha we are another Tanzanian from another mother hatumuachi
 
Mi nilidhani anaenda kwa ndalichako kumbe huko aliposoma ambapo ni rahisi kununua watu na kuwaambia wazungumze nin
Jamaa ni zero kabisa katika strategic plan zake
Hata akiweka cheti c mtasema amenunua nendeni mahakamani hakuna njia nyingine...kwani anazidi kukata mbuga anaingia mwaka wa 2 kwa kishindo amewashika pabaya kama baba yake. Msipojinyonga mwaka huu basi hamfi tena milele.
 
Na hapa mpumbafu hatakuwa Bashite bali wale waandishi watakaoenda hiyo ziara! Na kama kuzomewa waandishi na vyombo hivyo ndio vina deserve kuzomewa na kupuuzwa milele!
Waandishi wa habari wa MwanaHalisi walishatuletea ripoti,hii inayoanza kupikwa sasa ni upuuzi tu.

Haiingii akilini kabisa,inachukua nini kuonesha vyeti kama kweli anavyo?
Kweli badala yake unaandaa timu ya kwenda kuhoji 'watu' wake?
Huyu anazidi kudhihirisha tuhuma zinazomkabili ni kweli.
 
Pascal wewe ni Mwandishi wa habari, unazidisha kuonyesha mapenzi ya upande moja, hadi wengine tunafikiria there is a reason behind. Try to be objective!
 
Wanasahihisha na kutunga mitihani
Haiingii akilini mtuhumiwa anajiiundia tume, hii ndiyo kwanza naiona kwa awamu hii ya tano nadhani inatosha kusema tusububiri miujiza kwa aina hii ya uongozi wa (double standard)
 
Back
Top Bottom