Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Mi nilidhani anaenda kwa ndalichako kumbe huko aliposoma ambapo ni rahisi kununua watu na kuwaambia wazungumze nin
Jamaa ni zero kabisa katika strategic plan zake
 
Anayo jinsi ndio maana hajaonyesha mpk sasa
 
Hivi Daudi kuna ugumu gani wewe kufungua kabati na kutuonesha cheti mpaka utume watu 10 kijijini kwenda kukusanya habari?
Huenda kweli amefoji cheti lkn hii haitoshi kuthibitisha bila kumfikisha mahakamani tunamtarajia gwajima atautumia ushahidi alio nao kumtia hatiani.
 
Kumbe lengo ni kupata chati kisiasa sio kumfikisha kwenye vyombo vya sheria?
 
Hivi haiwezekani mtu binafsi kufungua kesi dhidi ya mtu aliyeghushi vyeti ni mpaka jamhuri tu ndiyo inayoweza kumfungulia mashitaka?

Wataalam wa sheria hebu nisaidieni hili
Inawezekana kabisa tena ushahidi upo kwa gwajima nashangaa wanangoja nini.
 
Mtasubiri sana...sasa hivi ni MAKONDA THE RC RELOADED.
 
Pia jiulize huyo Paul Christian anayesemekana vyeti vyake vimetumiwa na Bashite mbona hatujamuona au hata ndugu zake kueleza alipo? Hadithi yenu imekosa mashiko
Km imekosa mashiko mwambie atoke na vyeti mkononi mbona kitu rahisi anaogopa nini kwani?Unadhani kwa kukaa kimya ndo soo lake litaisha we are another Tanzanian from another mother hatumuachi
 
Mi nilidhani anaenda kwa ndalichako kumbe huko aliposoma ambapo ni rahisi kununua watu na kuwaambia wazungumze nin
Jamaa ni zero kabisa katika strategic plan zake
Hata akiweka cheti c mtasema amenunua nendeni mahakamani hakuna njia nyingine...kwani anazidi kukata mbuga anaingia mwaka wa 2 kwa kishindo amewashika pabaya kama baba yake. Msipojinyonga mwaka huu basi hamfi tena milele.
 
Na hapa mpumbafu hatakuwa Bashite bali wale waandishi watakaoenda hiyo ziara! Na kama kuzomewa waandishi na vyombo hivyo ndio vina deserve kuzomewa na kupuuzwa milele!
Waandishi wa habari wa MwanaHalisi walishatuletea ripoti,hii inayoanza kupikwa sasa ni upuuzi tu.

Haiingii akilini kabisa,inachukua nini kuonesha vyeti kama kweli anavyo?
Kweli badala yake unaandaa timu ya kwenda kuhoji 'watu' wake?
Huyu anazidi kudhihirisha tuhuma zinazomkabili ni kweli.
 
Pascal wewe ni Mwandishi wa habari, unazidisha kuonyesha mapenzi ya upande moja, hadi wengine tunafikiria there is a reason behind. Try to be objective!
 
Wanasahihisha na kutunga mitihani
Haiingii akilini mtuhumiwa anajiiundia tume, hii ndiyo kwanza naiona kwa awamu hii ya tano nadhani inatosha kusema tusububiri miujiza kwa aina hii ya uongozi wa (double standard)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…