Ukiona hivyo ujue hizo story ni za kutunga tu mkuu.Inaelekea Taifa lishatishwa na kila mmoja wet ana woga fulani!!
Hivi kweli katika watu million 50 amekosekana hata moja tu wa kuweka ushahidi walau attendance list ya wanafunzi waliosoma Koromije primary au Pamba secondary ili kutuonyesha mwanafunzi aliyesoma pale aliitwa Daudi badala ya Paulo na kwamba Paulo hakuwepo kwenye hayo madarasa!!?
Gwajima alisema ataweka cheti na kuleta wazee mpaka leo kimya.
Mwanahalisi lilisema limekwenda kuzungumza na wazee na kijijini,mpaka leo hawajaja na habari yoyote ya maana zaidi ya kuweka kichwa kingine ndani unakuta habari nyingine.
Hao wanaoicheza santuri ya Makonda hawajui wanachotaka,wengi ni bendera fuata upepo.Anachofanya Makonda ni kuwaumiza kisaikolojia tu na kuwaudhi na wao wanajua kama Makonda anawaudhi