Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Ukiona hivyo ujue hizo story ni za kutunga tu mkuu.
Gwajima alisema ataweka cheti na kuleta wazee mpaka leo kimya.
Mwanahalisi lilisema limekwenda kuzungumza na wazee na kijijini,mpaka leo hawajaja na habari yoyote ya maana zaidi ya kuweka kichwa kingine ndani unakuta habari nyingine.
Hao wanaoicheza santuri ya Makonda hawajui wanachotaka,wengi ni bendera fuata upepo.Anachofanya Makonda ni kuwaumiza kisaikolojia tu na kuwaudhi na wao wanajua kama Makonda anawaudhi
Mashaka yangu na hii story, kwa kweli siamini mtu aliyefail still 4, akafail stdo 7, akafail form 4 hakaweza kufaulu Chuo Kikuu. Unless siku hizi degree zinagawiwa!!!
 
Yaani mi nashangaa sana anataka umma ukubaliane na watu waliopangwa kuhojiwa ili wamtetee?? Tunajua anafadhaliwa na GSM na sijui kwa agenda ipi sasa wamempa pesa ahonge wanakijiji ili ionekane kama ni kweli sio. Kwanza kwa asivyo na aibu anawapeleka kijiji kile kile KOROMIJE si inaonekana kabisa ni mpango kazi wa kumsafisha. Yeye cha msingi angeita wanahabari kama alivyo hodari akatoa vyeti yangekwisha full stop! waandishe wa habari waende mwanza, koromije looh fedheha sana hii!! Puuuuuuuu!
Umeongea ukweli mkuu. Huu ni mpango maalum, ingawa mimi nauona ni wa kijinga sana.
 
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.

Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.

Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.

Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.

Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
Ziara ya nini kama anajiamini,kinachotakiwa ni kuweka vyeti mezani
 
Akupe vyeti kwani we nani had I ujue division au GPA za watu. Anayepaswa kujua performance za mwajiliwa ni mwajili wake!! Mbona nyie wapumbavu kiasi hicho.
Chukua maji usukutue kwanza hilo povu, halafu urudi hapa.
 
Warudi na kopi za vyeti...au hata attendance register tu...
 
Nikitaka kuthibitisha elimu yangu natoa vyeti tu, siwatumi watu kwenda kwenye shule na vyuo nilivyosoma
 
Hiki ndicho alichokifuata Afrika ya kusini nyumbani kwa mshikaji wake Masogange.
 
Waandishi wa bahasha au waandishi kama wale wa fake news na mayalla?
 
Maajabu haya yanapatikana tanzania tu....kiongozi anaetuhumiwa kufoji vyeti mpaka leo yupo anatamba
 
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.

Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.

Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.

Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.

Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
mbona aihitaji nguvu na gharama hizo, kwani wizara ya elimu iko Koromije kama ni kweli bsi ni ujinga mwingine
 
Sasa kuandaa safari ya watu 10 na kutoa tu vyeti kipi kinagharama kubwa?
 
Akupe vyeti kwani we nani had I ujue division au GPA za watu. Anayepaswa kujua performance za mwajiliwa ni mwajili wake!! Mbona nyie wapumbavu kiasi hicho.
Acha kutetea ujinga unampotosha bure kwani utaratibu wa kuthibitisha elimu unaujua vizuri mwambie Bashite sisi humu ni watu wazima huwa hatudanganywi kama watoto ukweli hana cheti angekuwa nacho kwa namna tunavyomjua hili suala tungeshasahau muda mrefu. Kwani hicho cheti kina uzito wa tani ngapi mpaka anashindwa kukitoa?
 
Sasa kuandaa safari ya watu 10 na kutoa tu vyeti kipi kinagharama kubwa?
Huku ni sawa na kuua sisimizi kwa nyundo! unatumia gharama kubwa na muda mwingi kusafirisha watu wakati unaweza kutumia dakika moja kumaliza hili jambo
 
This is nonsense!
Inakuwaje mtuhumiwa ujipangaje Waandishi wa Habari wa kwako na wale wanaokwenda kuhojiwa nao wa kwake??
Huyu jamaa asifanye Watz mabwege kama yeye alivyozungusha zero yake. Kama anajiamini basi aite Media za Kimataifa kama BBC, Deutche Well, VOA na CNN ili wakafanye random research ili DUNIA ielewe ukweli who is PAUL C. MAKONDA and who is DAUDI BASHITE. Halafu nani analipa hizo gharama? Je, ni serikali au ni fedha zake binafsi???

Msemakweli wa Sakata la Vyeti vya Daudi Bashite ni BARAZA LA MITIHANI TANZANIA(NECTA) na si vinginevyo. Mama Ndelichako where are you??

Kwako Askofu Josephat Gwajima,
Sasa ni wakati wa kuudhihirishia umma wa Watz nani mkweli hapa. Mtumishi andaa nondo zako za uhakika uziweke hadharani sambamba na uongo huu unaoenda kutungwa huko Koromije. We're really fed up na huu upuuzi. Lazima tusema sasa basi na Rais achukue uamzi wa kumtimua huyu kilaza.
Umemaliza yote mkuu,umeitendea haki ID yako [emoji119].
 
Back
Top Bottom