Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Tunamuomba Rais wetu, amuondoe huyu mwizi wa vyeti. Ni aibu kwa chama cha mapinduzi na serikali yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mubashara! wanasema "hujuma rejea" AU "aanzae mmalize"Haya majungu aliyaanza yeye,hakuna aliyekuwa anawaza kuhusu yeye,aliowapiga majungu wakapiga counter attack
Na inaonekana tayari washachukua chao kabisaHahaha watu wanaandaliwa wakuhojiwa?Kweli uyu ni Badhite.
Teh teh teh teh!Mtuhumiwa andaa watu wakwenda kuchunguza tuhuma. Sijawahi kuona maajabu haya Tanzania tuu.
Wajiandae kupiga jalamba la kurudi kaziniHivi hizi sarakasi zote mkuu anaziona au?....yaani katika hili akinyamaza basi haki ya wale wote waliotumbuliwa kwa tuhuma kama za bashite laana zitamwangukia....hii nchi inatia hasira sana
Hao walioandaliwa wajiandae kutoa ushahidi mahakamani. Ninachotaka kujua huyu mtu kwanini system inamlinda kwa nguvu zote. It does not make sense. Lazima kuna kitu tumekimiss. There is a missing link somewhere.Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.
Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.
pelekeni nyie watu wenu.si mwanahalisi walikwenda mbona kiimyaUmeongea ukweli mkuu. Huu ni mpango maalum, ingawa mimi nauona ni wa kijinga sana.
Ninl sawa lakini Mwana wa mfalme ni untouchable...Ukweli una tabia ya kupanda ngazi !
Wangekua wa kweli wangeshamshtaki Gwajima, kwa kutoa taarifa za Uongo kuhusu bashite.Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.
Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.
Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.
Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.
Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
Kama wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri, makatibu, wakurugenzi, na wateule wote wataamua kufanya sherehe za kutimiza mwaka mmoja sijui kama patakalikaKiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.