Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Inaelekea Taifa lishatishwa na kila mmoja wet ana woga fulani!!

Hivi kweli katika watu million 50 amekosekana hata moja tu wa kuweka ushahidi walau attendance list ya wanafunzi waliosoma Koromije primary au Pamba secondary ili kutuonyesha mwanafunzi aliyesoma pale aliitwa Daudi badala ya Paulo na kwamba Paulo hakuwepo kwenye hayo madarasa!!?
Ukiona hivyo ujue hizo story ni za kutunga tu mkuu.
Gwajima alisema ataweka cheti na kuleta wazee mpaka leo kimya.
Mwanahalisi lilisema limekwenda kuzungumza na wazee na kijijini,mpaka leo hawajaja na habari yoyote ya maana zaidi ya kuweka kichwa kingine ndani unakuta habari nyingine.
Hao wanaoicheza santuri ya Makonda hawajui wanachotaka,wengi ni bendera fuata upepo.Anachofanya Makonda ni kuwaumiza kisaikolojia tu na kuwaudhi na wao wanajua kama Makonda anawaudhi
 
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.

Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.

Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.

Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.

Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?

kama wakija na vyeti sawa....lakini kwa sasa amefoji vyeti na ni kosa la jinai...period
 
Sijaelewa!! Yaani yule Yusuf Manji aliyemtuhumu kubwia ngada ndo angekuwa Makonda basi na yeye angechagua wataalamu wake anayetaka yeye halafu wanaenda kumpima kufahamu kwamba kama ni kweli anatumia ngada!!!

Kwamba, yule Yusuf Manji mwenye tuhuma za kuajiri wageni wasio na vibali vya kufanyia kazi nchini, angekuwa ndo Makonda, basi angechagua Maafisa Uhamiaji wake kadhaa halafu wanaenda pale Quality Group kuchunguza kama ni kweli!!!

Kwamba, yule Jecha Salum Jecha wa Zanzibar baada ya kufuta uchaguzi; angeamua kuunda tume yeye mwenyewe ili imchunguze kuona kama ni kweli amefuta matokeo isivyo halali!!

Mbona sijaelewa!!!!
 
Tamaa ikitunga mimba human dhambi kisha dhambi huzaa mauti.
 
kuhangaika kote huko, si atoe vyeti tu? kwani majirani kule koromije ndio wamemhifadhia vyeti vyake? hahahaha, ukiwa sifuri kichwani ni sifuri tu, hata uvae mawani.
 
Uharibifu wa pesa kuokoa hizo pesa angeweka tu vyeti
 
Hakuna haja ya kuhangaisha kwatu kwenda Mwanza wala Koromoje. Kinachopaswa kufanywa ni kitu kidogo tu. Wanaomtuhumu wanamadai mawili tu: kwamba alifeli form 4 akiwa Pamba Sekondari, na kwamba jina analotumia sasa si jina lake halisi alilokuwa anasomea huko shule za msingi. Remedies: Onyesha kwamba toka shule ya Msingi, sekondari na chuo ulitumia majina yale yale (Kama ulibadilisha, sema kwa nini na ulibadilisha kwa utaratibu upi), Onyesha kwamba ulifaulu masomo yako ya form 4 (Onyesha cheti cha NECTA) na taja baadhi ya wanafunzi uliosoma nao form 4 ili kushuhudia kile ulichosema.
 
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.

Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.

Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.

Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.

Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
Sasa gharama zote za nini weka cheti mezani hata dk 10 nyingi sasa gharama zote atalipa nani
 
Hii ni akili matope ya kugushi vyeti na kuzungusha mduara.
 
khaaaa... kumbeee...

watu tulitarajia leo ingekua tukio la kuonyesha vyeti, ili atukate ngebe, lakini ikawa kinyume, kama ana mpango huo, bhac mungu anamuona
 
Hya yote ya nini. Tunataka vyeti Bashite.
Siku akitoa vyeti nitaita mwanangu bashitr
 
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.

Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.

Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.

Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.

Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
ukweli una tabia ya kubakia kwenye ukweli hii mbinu haitasaidia kuficha ukweli ,uongo utajitenga
 
Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.

Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.

This is nonsense!
Inakuwaje mtuhumiwa ujipangaje Waandishi wa Habari wa kwako na wale wanaokwenda kuhojiwa nao wa kwake??
Huyu jamaa asifanye Watz mabwege kama yeye alivyozungusha zero yake. Kama anajiamini basi aite Media za Kimataifa kama BBC, Deutche Well, VOA na CNN ili wakafanye random research ili DUNIA ielewe ukweli who is PAUL C. MAKONDA and who is DAUDI BASHITE. Halafu nani analipa hizo gharama? Je, ni serikali au ni fedha zake binafsi???

Msemakweli wa Sakata la Vyeti vya Daudi Bashite ni BARAZA LA MITIHANI TANZANIA(NECTA) na si vinginevyo. Mama Ndelichako where are you??

Kwako Askofu Josephat Gwajima,
Sasa ni wakati wa kuudhihirishia umma wa Watz nani mkweli hapa. Mtumishi andaa nondo zako za uhakika uziweke hadharani sambamba na uongo huu unaoenda kutungwa huko Koromije. We're really fed up na huu upuuzi. Lazima tusema sasa basi na Rais achukue uamzi wa kumtimua huyu kilaza.
 
Atawasha moto upya kwa akili yake anadhani utazimika.Tambo zote kwisha.
 
Sasa huyu bashite kwann asitoe vyeti tu kitendo cha dakika moja anaenda kutuma waandishi wakatafute nn huko koromije?!
 
Yanini kujisumbua na kujichosha kote huko, ni nini kinachomfanya ashindwe kutoa vyeti ili kuzima huu mjadala?

Huyu jamaa amechanganyikiwa bila shaka. Anafanya mambo ya kijinga kijinga tu.

Atahangaika lakini mwisho wa siku kinachohitajika ni vyeti.
Akupe vyeti kwani we nani had I ujue division au GPA za watu. Anayepaswa kujua performance za mwajiliwa ni mwajili wake!! Mbona nyie wapumbavu kiasi hicho.
 
Kazi ya Jeshi la Polisi ni kupeleleza kwa hili mbona kimya wakati tuhuma za jinai zinatokea na vielelezo vimetajwa ingekuwa ni intelijensia ya haki ya kikatiba wananchi wanataka kujua haki zao kupitia maandamano mabomu na maji ya kuwasha yanayonunuliwa kwa kodi yao wangemwagiwa pamoja na kusokomezwa ndani kubambikwa kesi...Makonda ahojiwe na Polisi .
 
Back
Top Bottom