Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Daud bashite mpaka muda huu alitakiwa awe jela.
 
Mashaka yangu na hii story, kwa kweli siamini mtu aliyefail still 4, akafail stdo 7, akafail form 4 hakaweza kufaulu Chuo Kikuu. Unless siku hizi degree zinagawiwa!!!
 
Umeongea ukweli mkuu. Huu ni mpango maalum, ingawa mimi nauona ni wa kijinga sana.
 
Ziara ya nini kama anajiamini,kinachotakiwa ni kuweka vyeti mezani
 
Akupe vyeti kwani we nani had I ujue division au GPA za watu. Anayepaswa kujua performance za mwajiliwa ni mwajili wake!! Mbona nyie wapumbavu kiasi hicho.
Chukua maji usukutue kwanza hilo povu, halafu urudi hapa.
 

Warudi na kopi za vyeti...au hata attendance register tu...
 
Nikitaka kuthibitisha elimu yangu natoa vyeti tu, siwatumi watu kwenda kwenye shule na vyuo nilivyosoma
 
Hiki ndicho alichokifuata Afrika ya kusini nyumbani kwa mshikaji wake Masogange.
 
Waandishi wa bahasha au waandishi kama wale wa fake news na mayalla?
 
Maajabu haya yanapatikana tanzania tu....kiongozi anaetuhumiwa kufoji vyeti mpaka leo yupo anatamba
 
mbona aihitaji nguvu na gharama hizo, kwani wizara ya elimu iko Koromije kama ni kweli bsi ni ujinga mwingine
 
Sasa kuandaa safari ya watu 10 na kutoa tu vyeti kipi kinagharama kubwa?
 
Akupe vyeti kwani we nani had I ujue division au GPA za watu. Anayepaswa kujua performance za mwajiliwa ni mwajili wake!! Mbona nyie wapumbavu kiasi hicho.
Acha kutetea ujinga unampotosha bure kwani utaratibu wa kuthibitisha elimu unaujua vizuri mwambie Bashite sisi humu ni watu wazima huwa hatudanganywi kama watoto ukweli hana cheti angekuwa nacho kwa namna tunavyomjua hili suala tungeshasahau muda mrefu. Kwani hicho cheti kina uzito wa tani ngapi mpaka anashindwa kukitoa?
 
Sasa kuandaa safari ya watu 10 na kutoa tu vyeti kipi kinagharama kubwa?
Huku ni sawa na kuua sisimizi kwa nyundo! unatumia gharama kubwa na muda mwingi kusafirisha watu wakati unaweza kutumia dakika moja kumaliza hili jambo
 
Umemaliza yote mkuu,umeitendea haki ID yako [emoji119].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…