Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Tunamuomba Rais wetu, amuondoe huyu mwizi wa vyeti. Ni aibu kwa chama cha mapinduzi na serikali yake
 
Hahaha watu wanaandaliwa wakuhojiwa?Kweli uyu ni Bashite.
 
Hivi hizi sarakasi zote mkuu anaziona au?....yaani katika hili akinyamaza basi haki ya wale wote waliotumbuliwa kwa tuhuma kama za bashite laana zitamwangukia....hii nchi inatia hasira sana
 
Iam told people at the top aren't thinking and acting rationally anymore- Tundu Lissu.
 
Hivi hizi sarakasi zote mkuu anaziona au?....yaani katika hili akinyamaza basi haki ya wale wote waliotumbuliwa kwa tuhuma kama za bashite laana zitamwangukia....hii nchi inatia hasira sana
Wajiandae kupiga jalamba la kurudi kazini
 
Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.

Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.
Hao walioandaliwa wajiandae kutoa ushahidi mahakamani. Ninachotaka kujua huyu mtu kwanini system inamlinda kwa nguvu zote. It does not make sense. Lazima kuna kitu tumekimiss. There is a missing link somewhere.
 
Wangekua wa kweli wangeshamshtaki Gwajima, kwa kutoa taarifa za Uongo kuhusu bashite.

Hata hivyo naona wanaenda kipropaganda zaidi. Which implies ni waoga waoga waoga.

Sakata serious wanataka kulimaliza kienyeji.
Hakika huyu ni Mwana wa Mfalme.
 
Kama wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri, makatibu, wakurugenzi, na wateule wote wataamua kufanya sherehe za kutimiza mwaka mmoja sijui kama patakalika
 
I'm still figure it out, pale hayo matokeo yatakapokuwa hadharani...
 
Anachezea Pesa Bure.
Angetoa Vyeti kwanza.

Pia swala hili sio la kipropaganda ni la kuchunguzwa kwa kufuata sheria na kanuni za utumishi wa Umma.

Bashite hajui namna ya ku-"deal" na ishu za umma. Anakuja kiushilawadushilawadu.


Nakuooona bashiteeeee unakula tu Ubuyuuuuuu
 
Waandishi watakao enda pamoja na watu watakao pangwa kuhojiwa lazima watakua wamenunuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…