Nitakutesa sana, na bado.Shabiki
Upo sahihi kabisa. Hawa wanataka kutengeneza mazingira ionekane kuna viashiria vya vurugu, halafu waseme kuna taarifa za kiintelijensia.Huo unaweza kuwa mkakati maalum wa kuzuia mkutano.
Lakini kama mambo yatakwenda hivi, sasa tunaingia kwenye hatua mpya kabisa ya kufanya mambo baina yetu.
Hahahaha hicho ni kikundi cha magaidi wa akina mbowe wameandaliwa ili kuongeza misaada toka kwa mabwana zao ulaya.aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Hao vijana ni wa Chadema na washabiki wa Yanga waliokuwa wakienda kwa Che Nkapa! Masau Bwire akiwajua uzuri walipomuibia simu zake! Ahahahahaha!!!aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Nchi ngumu hiiSimlisema utawala huu ni washeria na demokrasia...🤔 sa imekuaje tena...🙄
Yeah,hilo tukio liko STAGEDUtasikia intelligesia imenasa kuwa kunaweza kutokea machafuko hivyo mkutano usifanyike 😁😁
Utasikia intelligesia imenasa kuwa kunaweza kutokea machafuko hivyo mkutano usifanyike 😁😁
Ni kama tu mbowr alivyopanga mauaji ya Lisu na Dkt Slaa au chacha wangweYawezekana ni tukio la kutengenezwa ili ipatikane sababu ya kusema kuna viashiria vya vurugu mkutano wa kesho.
Yawezekana ni tukio la kutengenezwa ili ipatikane sababu ya kusema kuna viashiria vya vurugu mkutano wa kesho.
Ukiona hivyo maji yamezidi ungaSimlisema utawala huu ni washeria na demokrasia...🤔 sa imekuaje tena...🙄
Huyu shetani jiwe ndiye mwanzilishi wa ushetani unaofanywa na uvccm.Hii mikutano na ndio mana magufuli aliikataza. Vijana wa hovyo sana
Shehe Mwaipopo anahusika.aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Uma akili finyu kama yeye that's why unaona was right....Hii mikutano na ndio mana magufuli aliikataza. Vijana wa hovyo sana
Duu...!aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Hiyo ni kazi ya wahalifu wa uvccmCHADEMA wameanza ugaidi Tena IGP chukua hatua kulinda wanahabari
USSR
Hapa inatolewa elimu kwa uma, wananchi wakipata uelewa kwa mitazamo tofauti ndiyo muhimu kwa mustakabali mwema wa taifa.Ni jitihada za kutaka kudhoofisha mapambano ya haki!. Kesho ndio kesho hakuna kurudi nyuma!
Mimi pia nalitarajia hilo. Ni muda tu utaamua!!Utasikia intelligesia imenasa kuwa kunaweza kutokea machafuko hivyo mkutano usifanyike [emoji16][emoji16]