Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.

Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.

Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.

Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Hahahaha hicho ni kikundi cha magaidi wa akina mbowe wameandaliwa ili kuongeza misaada toka kwa mabwana zao ulaya.
 
aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.

Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.

Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.

Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Hao vijana ni wa Chadema na washabiki wa Yanga waliokuwa wakienda kwa Che Nkapa! Masau Bwire akiwajua uzuri walipomuibia simu zake! Ahahahahaha!!!
 
Yawezekana ni tukio la kutengenezwa ili ipatikane sababu ya kusema kuna viashiria vya vurugu mkutano wa kesho.

Awachelewi hao. Haya mambo ya bandari yamewaweka pabaya viongozi, hivi mbinu za kila namna zitatumika ili kuzuia mkutano huo.
 
aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.

Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.

Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.

Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Shehe Mwaipopo anahusika.
 
Duu...!
P
 
Ni jitihada za kutaka kudhoofisha mapambano ya haki!. Kesho ndio kesho hakuna kurudi nyuma!
Hapa inatolewa elimu kwa uma, wananchi wakipata uelewa kwa mitazamo tofauti ndiyo muhimu kwa mustakabali mwema wa taifa.
 
Back
Top Bottom